Picha: Kipanya "ahofia" kukutwa na yanayomkuta CEO wa JamiiForums

Imezungumzwa sana hilo naanza kuamini haiwezekeni ukakuta nchi iko mstari Fulani wananchi wakiwa wenye furaha pamoja na umaskini wao wewe ukaanza kubomoa misingi ya umoja amani na kiuchumi sijawahi kuona nasikitika sana moyoni mwangu
umeongea la muhimu sana,sasa hivi watu wanasononeka sana kwa kweli,isemwe tu,kuna huzuni kubwa sasa hivi hata kama mtu unamdai 5,000 kukulipa ni mbinde
 
Huyu kipanya ni mjinga tuu hata akishikwa siwezi sikitika maana huvuka mipaka sana
Asante, tuendelee kuosha vyombo wageni wanaongezeka, ila Mboga kidogo na Maji yanakauka, tutamlaumu nani ? Walaalikwa au waalika, basi wote tutasimama KWA bumbuazi na mishangao, hero ya Leo, je kesho?
 
kuna hihi pegi ya fb [HASHTAG]#Tanzagiza[/HASHTAG] nayo nahisi wanamzungukia mmiliki wake wamwekee mtego anase waanze mnyanyasa
 
Back
Top Bottom