Picha:king'asti na Paw katika penzi zito!

hahahaaaaaaaaaaaaaaa,safi sana mahaba nimalize hayo
 
Mwaka huu mtakonda sana juu yetu! Na hiyo picha mmekosea kabisaa, Paw hafui nguo anajua kupika. He spoils me rotten with his skills, asante farkhina kwa kuzidi kumfunza.

kakangu OLESAIDIMU acha umasai, ndo limbwata hilo. Kama mnadhani mmetuanika hamna jipya manake tulishajifua!
 
Last edited by a moderator:

Ahahahahahahaaaaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Mbona mfuaji kanuna kias hicho
 
Una roho nyeusi sana, kwa nini usinigee siri ya urembo na mie nikala mi raha?

Yaani mie kama kwenye avatar, tumbo, kuni, mtoto mgongoni na kunyonywa juu, niegee uchawi kidogo (siku hizi tunaomba uchawi hazarani)

Mwaka huu mtakonda sana juu yetu! Na hiyo picha mmekosea kabisaa, Paw hafui nguo anajua kupika. He spoils me rotten with his skills, asante farkhina kwa kuzidi kumfunza.

kakangu OLESAIDIMU acha umasai, ndo limbwata hilo. Kama mnadhani mmetuanika hamna jipya manake tulishajifua!
 
Una roho nyeusi sana, kwa nini usinigee siri ya urembo na mie nikala mi raha?

Yaani mie kama kwenye avatar, tumbo, kuni, mtoto mgongoni na kunyonywa juu, niegee uchawi kidogo (siku hizi tunaomba uchawi hazarani)
Aise!!
 
Ha ha ha kan'tangazeeeeeee!

Kwa sauti ya Riyama kwenye movie ya Kigodoro
 
Last edited by a moderator:
Anafua underwear!? Kweli hapo limbwata linamuhusu!:A S wink::A S wink:
 
hehehe, utajibeba. breakfast in bed inanihusu mwenzio. huhitaji uchawi, kweli ntakugea siri ya urembo mamii. mtoto na baba wote kunyonyesha? daaah

:croc:

Back
Top Bottom