PICHA : Kila mwaka Indonesia husheherekea na wafu wao

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Kuna nchi zina utamaduni wa ajabu na wa kipumbavu sana. Mojawapo ni Indonesia.

Kila mwaka wanafukua makaburi na kusheherekea na wafu wao waliokufa na kuzikwa miaka mingi iliyopita.

Jamaa wanapiga nao picha et! Wanawavalisha mpaka nguo na kuwavutisha sigara.

Mpaka watoto wadogo wanaenjoy et.

Shenzi sana hawa jamaa
IMG_20200414_233519.jpeg
IMG_20200414_233511.jpeg
IMG_20200414_233502.jpeg
IMG_20200414_233454.jpeg
IMG_20200414_233347.jpeg
IMG_20200414_233338.jpeg
IMG_20200414_233322.jpeg
IMG_20200414_233329.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ile picha iliyokuwepo usiku ya kipochi manyoya ikowapi..??
Ilizua mjadala watu hawajadili hiyo mizimu😂😂
 
Kuna nchi zina utamaduni wa ajabu na wa kipumbavu sana. Mojawapo ni Indonesia.

Kila mwaka wanafukua makaburi na kusheherekea na wafu wao waliokufa na kuzikwa miaka mingi iliyopita.

Jamaa wanapiga nao picha et! Wanawavalisha mpaka nguo na kuwavutisha sigara.

Mpaka watoto wadogo wanaenjoy et.

Shenzi sana hawa jamaaView attachment 1419349View attachment 1419351View attachment 1419352View attachment 1419353View attachment 1419354View attachment 1419355View attachment 1419356View attachment 1419357

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ungeita utamaduni wa ajabu, Ila kusema wa kipumbavu. Kwa mtazamo wako labda, maana hizi ni tamaduni za makabila au mataifa tofauti tofauti, kila kabila au taifa linautamaduni wake, na kumbuka kila mtu njia yake Ni njema Machoni pake mwenyewe.

Hii kitu nilishaiona kwenye kipindi Fulani kwenye channel Moja inaitwa Aljazeera, kipindi kinaitwa Witness, ni muda sana nadhani mwaka 2008. Walionyesha maiti, wanavyozika, wanavyoenda kufukua baada ya ule muda kupita na sherehe zinavyofanyika baada ya kufukua. Then wengine wanahifandi ndani wengine wanaenda kuweka mifupa kwenye kaburi la pamoja.

Nilishangaa sana utofauti ya hizi tamaduni.

Very interesting actually.

Hao wanaohifadhi ndani ndo mikenge Sasa Kama mimi ndo mgeni hapakaliki naondoka😂😂
 
Back
Top Bottom