Lokissa
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 7,446
- 2,490
hivi huwa wanasoma kilichomo?
iweje mikataba inahusu mustakbhali wa nchi yetu kusainiwa nje ya nchi?
nadhani tushauzwa sasa, CCM ni janga la kitaifa
kuna haja mikatataba yote inayohusu madini umeme,mafuta nk kuridhiwa na bunge
na raisi apunguziwe madaraka,hata safari zake ziidhinishwe na baraza la mawaziri
hii itawezekana zaidi 2015 tukishamtoa nyoka magamba na nyama zake zote