uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 3,999
- 8,390
Tunaambiwa wizara ya nishati iliingia mikataba mingi na waarabu
Ajabu hiyo mikataba inafichwa fichwa kwann waifiche kama wana nia njema?
Walioingia mikataba ni January makamba na Maharage wote wamehamishwa
Ila mikataba waliyoingia ina umilele na haijawekwa bayana inahusu nini?
Wajuvi walienda mbali kuwa waarabu wamelipa pesa kununua miradi ya nishati inayoendelea nchini ili ikikamilika wamiliki wao.
Hii ina maana Watanganyika tutakuwa tunananunua umeme unaomilikiwa na Waarabu.
Na watakuwa na options ya kuuza umeme wetu nje ya nchi especially (connect dot mtoto wa kiongozi abdul na rostam) ndio washika dau wakubwa katika hizi dili.
Pia kuna kampuni binfs inaiuzia umeme Tanesco haijulikani inamilikiwa na nani.
Na tuhuma nyingine nyingi. Yote haya yamewezeshwa na maharage na makamba.
Tungeomba Rais hawa watu watoe majibu kwa umma dhidi harufu ya ufisadi huu utakaoenda kuangamiza Tanesco