PICHA: Kikwete huyoo anasaini mikataba mipya na waarabu Oman

hivi huwa wanasoma kilichomo?
iweje mikataba inahusu mustakbhali wa nchi yetu kusainiwa nje ya nchi?
nadhani tushauzwa sasa, CCM ni janga la kitaifa
kuna haja mikatataba yote inayohusu madini umeme,mafuta nk kuridhiwa na bunge
na raisi apunguziwe madaraka,hata safari zake ziidhinishwe na baraza la mawaziri
hii itawezekana zaidi 2015 tukishamtoa nyoka magamba na nyama zake zote
 
Eti huwa anasoma hiyo mikataba kwanza kabla ya kusign au ndio anaweka tu sahihi? Je kwanini asijr nayo huku ili ipitiwe kuona kama pande zote yaani Tz na Oman wananufaika sawa?
Hivi kama akisign na ukute unasehemu isemayo kutawaliwa maika 50 atafanyaje? Naombeni msaada hapa

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
nini miaka 50,yeye mwenyewe anataka iwe miaka 99!
 
Maweeee!, Tumeuzwaaaaa kwa waarabu!. JK na Rais mtarajiwa Membe nawaona mnavyotupiga bei.
 
9uje2e7a.jpg
8E9U0003.JPG


8E9U0005.JPG


8E9U0013.JPG

8E9U0018.JPG


8E9U0028.JPG


8E9U0031.JPG


8E9U9991.JPG



TUMIKWISHA!
6yja8a6e.jpg
a7yvujaz.jpg
e6ubevu5.jpg
3ure8ara.jpg

Alipo sani mikataba na mzungu Bush hukuona tatizo. Mawazo kama hayo ndio yanayo ingamiza TZ. Yani unazani hii nchi ni Mali ya Vatican sio ? Mtaingamiza nchi kwa udini.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
duh! hapa nimwendo wa kubadilisha tende na gold nothng else huyu mjomba kwel kapoteana cpati pcha mpaka kufkia 2015
 
hivi huwa wanasoma kilichomo?
iweje mikataba inahusu mustakbhali wa nchi yetu kusainiwa nje ya nchi?

Umejaribu japo kutaka kujua kilichopo ndani ya hiyo mikataba au unalialia tu?

Mbona Bush alikuja kusaini mikataba hapo Ikulu Magogoni? na wamarekani waliliwa?
 
huyu baba huyu! angekuwa mwanangu na utu uzima huu, ningemchapa mpaka kalio litoke nje ka joyce wowowo! ana laana huyu mwenyeji wa msoga! puuuuuuuuuuuu!
 
pamoja na kutugeuza watumwa,kuzaa na dada zetu kinguvu,kututawala kikatili bado tunaenda kuwapigia magoti
 
Back
Top Bottom