PICHA: Kikwete huyoo anasaini mikataba mipya na waarabu Oman

Dotworld, ebu tuwekee picha za hawa warabu walivyochoma nyumba za ndugu zetu LOLIONDO kisa wapate sehemu ya kuwinda wanyama
 
Last edited by a moderator:
Hivi Kikwete anajua anachokifanya kweli? Haiingii akilini.......................................... Ameacha madogo wanapigana huku yeye na pipa tu.................................
 
Hakuna inteligencia itusaidiye kuweka hapa hiyo mikataba anayosaini hivis sasa ili tuweze kusoma na kujua kilichomo. Ninatamani kama ningeliweza kupata copy ya hiyo kitu.
 
Huyu jamaa anatumaliza na mikataba yake!!hajui kama nchi inawaka moto huku
 
SAFI SANA....jitahidi umfike japo ata robo MKAPA kwenye kuuza rasilimali za nchi.. MKAPA angepewa mwaka mmoja angeuza ata mt kilimanjaro tena kwa wa KENYA
 
Loliondo imeuzwa tena!Tumerudi enzi za Mwinyi!My country Tanzania i'm pity you
 
SAFI SANA....jitahidi umfike japo ata robo MKAPA kwenye kuuza rasilimali za nchi.. MKAPA angepewa mwaka mmoja angeuza ata mt kilimanjaro tena kwa wa KENYA

naaam jk anafata nyayo za mtanguliz wake sion tatizo hapa,,,,,,
 
Hana analoweza kufikili a state leader of a country like Tanzania how would he be drown into this nosense,kiongozi wa taifa tajiri kwa mali asili kama Tanzania,nchi kubwa unaitwa na mfalme anakudictate terms za kufuata na wewe unakubali huyu Raisi ni kijanja kinacho mfaa ni kumpopotoa na mayai viza full stop
Kama mwanaume kweli kwa nini sultani hakuja Tanzania na akasaini mikataba wamekuja watu kama waziri mkuu wa china hapa na mikataba akasaini hapa hawa wanamhonga suti na yeye anapanda pipa kwenda kujidhalirisha huko puu what a shame
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha Kama ya Chief Mangungo, ha ha ha ha ha ngoja nicheke mie niongeze siku.
 
Back
Top Bottom