babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,112
- 16,012
- Thread starter
- #61
Nadhani siku ukipigwa mnada huku unaona ndio utaamini kwamba huna chako,angalia picha vizuri akisaini mkataba na bush na akisaini mkataba na waarabu utaona kabisa kwamba huko oman kuna issue batili inaendelea
Alipo sani mikataba na mzungu Bush hukuona tatizo. Mawazo kama hayo ndio yanayo ingamiza TZ. Yani unazani hii nchi ni Mali ya Vatican sio ? Mtaingamiza nchi kwa udini.
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2