Sabayi
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 2,310
- 991
Si mara ya kwanza na wala haitakuwa ya mwisho. Huyo ndiye Rais wa wote.
Tarehe zinayoyoma mzee vp Nape ameshaingiza mshahara wetu wa kushinda humu?
Si mara ya kwanza na wala haitakuwa ya mwisho. Huyo ndiye Rais wa wote.
maskini mama wa watu haujui mtandao wake kwa sababu tu ya njaa,anyway at least muheshimiwa kumbe ana vitu anavyoviweaKikwete akijiburudisha baada ya kazi nzito iliyochukua karibu wiki zima Dodoma kukamilika. Kazi na dawa
Nasikia JK huwa anakula hadi tigo !
Kwani iliishaje maana naona hapo mwanzo mwanzo wa kucheza, labda kama hao waliokuwa wanaimba waliacha kuimba ghafla. Inaruhusiwa pia katika ngoma, haina tatizo hiyo kama ilitokea.hapo anatamani amshike huyo dada.
Kikwete akijiburudisha baada ya kazi nzito iliyochukua karibu wiki zima Dodoma kukamilika. Kazi na dawa
Huyo ndo rais wa vijana so swagger za kizee weka pembeni!!Mbona haya mambo sikuwahi kuyaona wakati wa Ben, Mwinyi au Nyerere? Kipindi hiki mambo tofauti kabisa jamani!!!
Mhm!Mbona wakina kaka siwaoni hapa?
Huyo ndo rais wa vijana so swagger za kizee weka pembeni!!
Hapo kama zile nafasi za Ubunge za kuteuliwa hazijaisha siku si nyingi utasikia huyo mama kapewa moja vinginevyo itaanzishwa wilaya mpya ili apewe walau Ukuu wa Wilaya hiyo.
Huyo ndo rais wa vijana so swagger za kizee weka pembeni!![/QUOaaaah msomi wa Leo unaniangusha bwana,mwalimu alikuwa akipiga ngoma mwenyewe,nakumbuka pale butiama alikuwa akicheza ngoma za utamaduni.