Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

Ni kweli kabisa mkuu...
Going back to history katika jamii yetu hamna uzoefu wa nguvu ya Mungu aliye hai tumezoea dini tulizo hubiriwa na wakoloni ambazo hazikuonesha ufunuo ambao leo unadhihirishwa na Mungu mwenyewe katika kristo Yesu. Mababu zetu waliabudu miungu mingine maisha yao yote. Hata walipo letewa injili ya dini ilichukua muda kuelewa lakini bado haikuwa full gospel , ilikuwa partial haikuweza kuwafanya watanzania wawe independent. Full gospel ni ile injili ya asili aliyohubiri Yesu Kristo na mitume wake ambayo ina ishara, miujiza, kukemea pepo na nguvu za giza, unabii and may more(reveals the power of God).

Hakuna familia (kama zipo ni chache sana) ambayo wamekua wakiona baba/mama au kaka akikemea pepo/jini na likaondoka au kumponya mgonjwa kwa kuwekelea mikono na akapona. wengi hawajakuwa katika imani hiyo. Hata serikali za vijiji nakumbuka enzi hizo kijijini kwetu alisha wahi kuletwa mganga atoe wachawi mtaa kwa mtaa. Hii inaonesha ni jinsi gani ilivyo rahis sana watu kuamini uchawi/shetani kuliko Mungu aliye hai, ingawa anaona kabisha majini na mapepo (agents of the devil) yanavyo surrender litajwapo jina la Yesu Kristo wa Nazareth.

Ni tatizo la kihistoria na hivyo, watanzania tubadilike na tuwe na shukrani hata kwa hao wakoloni maana; naamini dini walizoleta zimetupa idea kwamba yupo Mungu aliyeumba haya tuyaonayo na yale tusioona, then tuchukue hatua kumtafuta yule Mungu aliye hai, anayeongea na aliye halisi tusiongee sana, maana yupo anatusubiri tumrudie tule mema ya nchi..."mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi". Maana imeandikwa uzima na mauti vi katika ulimi wa mwanadamu. Usihukumu watu/viongozi wa imani Maana imeandikwa judge not, for it is by the same measure you shall also be judged.

Jamani God is real, Jesus is real, Holy Ghost(spirit) is real and heaven is real. The devil i a Liar, Tanzania wake up pray for the nation and stop being lazy.

Wewe ndio mvivu wa kufikiri pengine kuliko walokole wote waliomo humu jamvini,..umefikia hatua ya kuwakebehi hata mababu zetu in favour ya wazungu....kama sio mnufaikaji wa utapeli huu wa Mama Lwakatare basi wewe ni zaidi ya mjinga.
 
Kweli kabisa nakubaliana na wewe asilimia 100 umemeliza kila kitu
 
Wewe ndio mvivu wa kufikiri pengine kuliko walokole wote waliomo humu jamvini,..umefikia hatua ya kuwakebehi hata mababu zetu in favour ya wazungu....kama sio mnufaikaji wa utapeli huu wa Mama Lwakatare basi wewe ni zaidi ya mjinga.
Tulia okoka umjue Mungu aliye hai ndiyo utaweza kumwelewa alichokisema, vinginevyo utbaki gizani
 
"If u can get free milk why keep a cow?" kweli wajinga ndio waliwao.. hapo utakutana na waumini wanaishi chumba kimoja cha kupanga magomeni nao wamechangia hilo hekalu

Ntaendelea kufuata mila za mababu tu...
 
Ni kweli kabisa mkuu...
Going back to history katika jamii yetu hamna uzoefu wa nguvu ya Mungu aliye hai tumezoea dini tulizo hubiriwa na wakoloni ambazo hazikuonesha ufunuo ambao leo unadhihirishwa na Mungu mwenyewe katika kristo Yesu. Mababu zetu waliabudu miungu mingine maisha yao yote. Hata walipo letewa injili ya dini ilichukua muda kuelewa lakini bado haikuwa full gospel , ilikuwa partial haikuweza kuwafanya watanzania wawe independent. Full gospel ni ile injili ya asili aliyohubiri Yesu Kristo na mitume wake ambayo ina ishara, miujiza, kukemea pepo na nguvu za giza, unabii and may more(reveals the power of God).

Hakuna familia (kama zipo ni chache sana) ambayo wamekua wakiona baba/mama au kaka akikemea pepo/jini na likaondoka au kumponya mgonjwa kwa kuwekelea mikono na akapona. wengi hawajakuwa katika imani hiyo. Hata serikali za vijiji nakumbuka enzi hizo kijijini kwetu alisha wahi kuletwa mganga atoe wachawi mtaa kwa mtaa. Hii inaonesha ni jinsi gani ilivyo rahis sana watu kuamini uchawi/shetani kuliko Mungu aliye hai, ingawa anaona kabisha majini na mapepo (agents of the devil) yanavyo surrender litajwapo jina la Yesu Kristo wa Nazareth.

Ni tatizo la kihistoria na hivyo, watanzania tubadilike na tuwe na shukrani hata kwa hao wakoloni maana; naamini dini walizoleta zimetupa idea kwamba yupo Mungu aliyeumba haya tuyaonayo na yale tusioona, then tuchukue hatua kumtafuta yule Mungu aliye hai, anayeongea na aliye halisi tusiongee sana, maana yupo anatusubiri tumrudie tule mema ya nchi..."mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi". Maana imeandikwa uzima na mauti vi katika ulimi wa mwanadamu. Usihukumu watu/viongozi wa imani Maana imeandikwa judge not, for it is by the same measure you shall also be judged.

Jamani God is real, Jesus is real, Holy Ghost(spirit) is real and heaven is real. The devil i a Liar, Tanzania wake up pray for the nation and stop being lazy.

...And soon we all will be able to build a Personal Hekalu like This? Do you Own One? You dont? Aha! so you also is lazy and you have not PRAYED like mama Rwakatare, eh? teh teh.
 
Jamani biashara ya dini inalipa haswa ulokole watu wanamatatizo lundo lukuki wanahitaji faraja.
 
Tulia okoka umjue Mungu aliye hai ndiyo utaweza kumwelewa alichokisema, vinginevyo utbaki gizani

Naona kawatuma kuja kupoza mambo humu jamvini,...this is Jf(Home of gt) bhana_hatushiwi nyau na ulokole uchwara kama huo mkuu
 
Mungu ndie anaetoa baraka ikiwa kama baraka hizo zinatoka kwa mungu basi zitadumu lakini kama niza mashetani zitayeyuka tu. Tumuombee mama rwakatale afanye kazi ya mungu kwa roho na kweli
 
nadhani zile offering za kujianzishia kituo cha TV zimefanya kazi.hayo ndio matunda yake.ni mtizamo wangu.
 
Tufanye kazi kwa bidii ndiyo tutafanikiwa..tuachane na mambo ya wivu..unafanya kazi masaa 2 alafu uje ufanikiwe lini..haujiongezi kupata source nyingine ya pesa..ukitoka kazini -bar-nyumbani.alafu mafanikio utapataje..

Nakubaliana Nawe but please do tell, Mheshimiwa wetu huyu anafanya kazi Masaa kwa siku hadi kufanikiwa hivi? Kazi Gani? Maana siamini kwamba kazi kama ile wanayofanya dada zangu wanaoamka asubuhi na kwenda kuchukua mchicha mahali na kuutembeza majumbani siku nzima Inalipa hivi...!
 
Jamani biashara ya dini inalipa haswa ulokole watu wanamatatizo lundo lukuki wanahitaji faraja.

hahahaha..ukitaka ujue matatizo ya watanzania wewe tangaza umeoteshwa dawa ya ukimwi, Kisukari, nguvu za kiume..haafu tafuta watu kama wali hivi watoe ushuuda wa kuthibitisha kuwa dawa yako inatibu............
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Back
Top Bottom