Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,305
24,196


Muonekano wa mbele wa hekalu la Mchungaji Rwakatare

MC na mchungaji Haris Kapiga wa Clouds FM

Mc Harris Kapiga akiwa kazini.

Watu wakijiachia

Kabati la vyombo

Akiwa katika ofisi yake ya nyumbani, kuna sehemu ya kufanyia mikutano, Salon, Studio, na sehemu ya mazoezi.

Wadau wakijiachia kwenye moja wapo ya kochi la kifahari mjengoni humo

Wakati wa msosi

Mambo ya dressing table

Kitanda chake cha kulalia
---

Mchungaji Getrude Rwakatare amehamia rasmi katika nyumba yake mpya iliyoko Mbezi Beach jijini Dar es Salaam pembezoni mwa bahari ya Hindi. Inaripotiwa kuwa waumini wa kanisa lake wapatao 300 walifika mahali hapo kwa kushuhudia nyumba yake hiyo ya kifahari.

Kabla ya kuhamia kwenye hekalu lake jipya Mch. Mh. Getrude Pangalile Rwakatare alikuwa akiishi Mikocheni B katika nyumba nyingine ya kifahari pia.



Picha na Ruma Africa





 
KATOLIK LILIONA MBALI. No kuoa No KUOLEWA wala Kujenga Mnaishi kwenye Majumba ya Kanisa. Safi sana RC.. Ngoja nikakabidhi mchango wangu wa kumjengea Paroko Nyumba ya Kuishi Parokiani....... Awe karibu nasi

Mkuu umenichekesha mbaya! Sisi ndio hatuna makuu kila sheikh anakaa kwenye kamjengo kake na sadaka zote nikwa ajili ya msikiti sio tumbo la sheikh.
 
Back
Top Bottom