Picha kali ya leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha kali ya leo

Discussion in 'Jamii Photos' started by babukijana, Jun 9, 2010.

 1. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  hawa jamaa usalama wataangalia saa ngapi?wamesahau kazi iliyowapeleka wamekuwa mapaparaz,kweli bongo kuna amani duh.

  na huyu mwongoza TV ya Uwanja wa Taifa alichemsha sana!

  [​IMG]
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hivi mabosi wao huwa wanaziona hizi picha?
  S**t!!
   
 3. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  nawaonea hadi huruma. huu ugeni wa technologia huu jamani...tukipata kidogo tu tushalimbuka haoooo sasa visimu vya elfu hamsini ivyo wanamringishia nani?
   
 4. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  ha ha haaa
   
 5. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,017
  Trophy Points: 280
  Kweli, ndio bongo hata power tiller!?!
   
 6. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Tuwasamehe hawajui walitendalo
   
 7. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,165
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Hiyo TV ndo imeniacha hoi
   
 8. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  :A S-eek:
   
 9. kmp

  kmp Member

  #9
  Jun 10, 2010
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh!
   
 10. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Khaaaa nimecheka sana, hao walinzi wamegeuka paparazi na hawajui tena jukumu lao la ulinzi. Hongera kwa kijana aliyeweza kingia uwanjani bila kipingamizi chochote na kutimiza ndoto yake ya kukutana na kaka uso kwa uso.. hongera sana. Na hio screen we achaa tuuu ... ndio bongo hio,,, kigugumizi lazima !!!!
   
 11. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  nakwambia balaa tupu yaani kila kukicha ni visa vitupu kunzia rais mpaka na wananchi wote,tanzania imekua kama jumba la zecomedi maana kila siku ni vioja tu hakuna aliye serious na kitu chochote.
   
 12. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2010
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  sina hamu,,wao adi kiranja mkuu tatizo tupu
   
 13. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Teh teh teh! Poor them...! Kamba mambo yenyewe ya teknolojia yalikaa hivi hizo nyimbo za taifa zingetoka bomba kweli?
   
 14. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #14
  Jun 11, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Usiombe tena mbona afadhali hao; kuna tukio la kiakanisa nilihudhuria hivi karibuni amabako kwaya zilikuwa zinaimba; alianza moja na kisimu chake cha mchina kufumba na kufumbua watazamaji tukazibwa kwani waliokuwa mbele yetu ni wapiga picha na simu zao! aaargh.............ilibidi niingilie kati na kwenda kuwasema palepale!
   
 15. a

  asagulaga Member

  #15
  Jun 11, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 76
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Ni vizuri ilivyoanza kujadili wajibu wao kwamba walijisahau. Lakini habari za teknolojia asiwepo wa kuwaponda kila mtu ana priorities zake. Kutembelea Bajaj au Prado ni mipango ya mtu
   
 16. masharubu

  masharubu Senior Member

  #16
  Jun 11, 2010
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hawa jamaa walitaka kuonyesha watu wanaijua komputa,walichokua wanawaza ni mipesa tuuu,uwanja uliwatia aibu hata raha ya gemu hawakua nayo
   
 17. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #17
  Jun 11, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Kimya sana mzee wa macho..kwema lakini??:pound::sick:
   
 18. chloe.obrain

  chloe.obrain JF-Expert Member

  #18
  Jun 11, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahaa haaaa...!!!! kweli wewe ni MASIKINI JEURI.
   
 19. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #19
  Jun 11, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Bora wewe umeliona hili mapema!!
   
 20. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #20
  Jun 11, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hakuna cha priorities ni ushamba tu unawasumbua! Ni kutaka kujionesha kwamba "na mimi nimo"! Kwisha!
   
Loading...