Picha: JK akiwa Paris

Picha: JK akiwa Paris

idoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
3,051
Reaction score
1,423
JK-30Jan2015.jpg

Rais Jakaya Kikwete, akilakiwa na mwenyeji wake,
Rais Francois Hollande, katika Ikulu ya Ufaransa
jijini Paris juzi. PICHA: IKULU

eti FaizaFoxy, ifweero hapo mkono wa kushoto ni 'pozi' au ndio maumivu?
 
Last edited by a moderator:
Braza JeiKei hajawahi kuniangusha ktk swala la kupiga picha
 
wakuu ukigugo ni rais gani msafiri kuliko wote dunia hii inaleta gani??
 
mara hii amepiga route ndefu kama zile daladala za mbagala_tegeta
_yeye paris,jerimani,uarabuni....
 
pale magogoni pana ka shet'an
mwiso mwisho lazima
lazima ''mushker dunia iwakumbe wana ndoa......toka mjerumani......
.

Ahaahaha...nahisi mafirts lady wanakuwa na stress za kutoka mjengoni kuhamia uswahilini(maana masaki/mbezi beach kwao ndo wanakuona uswahilini) ndo mana wanakuwa wakali
 
Au unafikiri ni kama babu alivyokula mkong'oto wa Josefina Mwanza akawa kilema mpaka leo?

Kwi kwi kwi teh teh teh.

Hivi bibi FF, babu alishawai kuwa mpenzi wako nini, harafu akakumwaga, mbona unamchukia sana?
 
Back
Top Bottom