Braza JeiKei hajawahi kuniangusha ktk swala la kupiga picha
oh! yeah.
pale magogoni pana ka shet'ankwani nae kapigwa na stuli!!!!
Braza JeiKei hajawahi kuniangusha ktk swala la kupiga picha
pale magogoni pana ka shet'an
mwiso mwisho lazima
lazima ''mushker dunia iwakumbe wana ndoa......toka mjerumani.......
Au unafikiri ni kama babu alivyokula mkong'oto wa Josefina Mwanza akawa kilema mpaka leo?
Kwi kwi kwi teh teh teh.
Uchafu ule? Unanchekesha!Hivi bibi FF, babu alishawai kuwa mpenzi wako nini, harafu akakumwaga, mbona unamchukia sana?