Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 59,079
- 69,500
Hili NenoArudi kwao Zanzibar, haya mambo ya wazanzibari kupewa vyeo bara ila wabara kubaniwa Zanzibar hayapo fair.

Anafikiri hatumjui, kwasasa TANGANYIKA hatutuaki MZANZIBARRudi kwenu Mzee ...Acha kujipigia debe hapa.
Rudi kwenu.
Leta hapa orodha ya mambo Muungano.Unasoma Katiba ipi?
#NoReformsNoElectionView attachment 3372082
==
Nimekutana na hii taarifa kwenye group songezi la Whatsapp Kwa ruhusa yenu naomba tuijadili Kwa uwazi na haki,
Mimi mleta mada Kwa namna bwana huyu alivyoitukiza Kilosa naona kama nafasi aliyonayo huyu DC Kwa sasa inambana sana atafutiwe nafasi nyingine ya juu saizi yake ili Taifa liweze kunufaika na uwezo wake huu wa kuacha alama isiyofutika.
===
Taarifa yenyewe ni hii:
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka ameongoza viongozi mbali mbali, wadau wa maendeleo, taasisi za kiserikali na zisizo za kiserikali katika maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika yaliyofanyoka kimkoa wilayani Kilosa.
View attachment 3372087
Katika maadhimisho hayo DC Shaka alimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Adam Kighoma Malima ambapo amesisitiza umuhimu wa kuendelea kuwalinda watoto dhidi ya majanga na maswahiba mbalimbali ambayo yanapelekea kuharibu utu wao mbele ya jamii sambamba na kuwakatisha tamaa katika kutimiza ndoto zao za baadae.
"Kauli mbiu ya mwaka huu ni Haki za mtoto , tulipotoka, tulipo tuendako ambayo inaitaka jamii kwa ujumla kufanya tafakuri ya kina juu ya upatikanaji wa haki za watoto tangu zilipoainishwa katika Sera ya Maendeleo ya Mtoto ya mwaka 2008" alisema Shaka
Hata hivyo Dc Shaka ameendelea kutoa msisitizo juu kuwaelimisha na kuwakumbusha wazazi, walezi na watoa huduma wote wajibu wao katika kutekeleza haki tano za msingi za mtoto ambazi ni haki ya kuishi, haki ya kuendelezwa, haki ya kulindwa,hski ya kushiriki na haki ya kutobagliwa.
"Niendelee kuwahakishia kuwa serkali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan pamoja na kuweka mazingira rafiki na shirikisha itaendelea kuhakikidha haki nilizozianisha na ulinzi wa myoyo unapatokana katika ngazi zote" Alisisitiza Shaka.
Recall:JAMII YATAKIWA KUWALINDA WATOTO DHIDI YA VITENDO VYA UKATILI
===
Sijawahi kukucheka leo nakucheka sasa tundu lissu ananini?? Yaani mie sipendagi tu mtu akinyanyanyaswa Tundu lissu hayupo robo tatu yake Magufuli . Huyu baba akishika nchi kwaheri tzMzamzibari anaruhusiwa kuwa DC Tanganyika! Ila Mtanganyika haruhusiwi kuwa DC Zanzibar!
Kwa kweli tuna Muungano wa kijinga sana. Na kwa hali hii, Rais aina ya Tundu Lissu anahitajika sana ili atuondolea huu ujinga.
Sasa kipi Cha ajabu alichokifanya hapo ambacho so special kwake Hadi apewe nafasi kubwa zaidi ya hiyo?View attachment 3372082
==
Nimekutana na hii taarifa kwenye group songezi la Whatsapp Kwa ruhusa yenu naomba tuijadili Kwa uwazi na haki,
Mimi mleta mada Kwa namna bwana huyu alivyoitukiza Kilosa naona kama nafasi aliyonayo huyu DC Kwa sasa inambana sana atafutiwe nafasi nyingine ya juu saizi yake ili Taifa liweze kunufaika na uwezo wake huu wa kuacha alama isiyofutika.
===
Taarifa yenyewe ni hii:
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka ameongoza viongozi mbali mbali, wadau wa maendeleo, taasisi za kiserikali na zisizo za kiserikali katika maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika yaliyofanyoka kimkoa wilayani Kilosa.
View attachment 3372087
Katika maadhimisho hayo DC Shaka alimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Adam Kighoma Malima ambapo amesisitiza umuhimu wa kuendelea kuwalinda watoto dhidi ya majanga na maswahiba mbalimbali ambayo yanapelekea kuharibu utu wao mbele ya jamii sambamba na kuwakatisha tamaa katika kutimiza ndoto zao za baadae.
"Kauli mbiu ya mwaka huu ni Haki za mtoto , tulipotoka, tulipo tuendako ambayo inaitaka jamii kwa ujumla kufanya tafakuri ya kina juu ya upatikanaji wa haki za watoto tangu zilipoainishwa katika Sera ya Maendeleo ya Mtoto ya mwaka 2008" alisema Shaka
Hata hivyo Dc Shaka ameendelea kutoa msisitizo juu kuwaelimisha na kuwakumbusha wazazi, walezi na watoa huduma wote wajibu wao katika kutekeleza haki tano za msingi za mtoto ambazi ni haki ya kuishi, haki ya kuendelezwa, haki ya kulindwa,hski ya kushiriki na haki ya kutobagliwa.
"Niendelee kuwahakishia kuwa serkali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan pamoja na kuweka mazingira rafiki na shirikisha itaendelea kuhakikidha haki nilizozianisha na ulinzi wa myoyo unapatokana katika ngazi zote" Alisisitiza Shaka.
Recall:JAMII YATAKIWA KUWALINDA WATOTO DHIDI YA VITENDO VYA UKATILI
===
Mwenda alikuwa ZanzibarArudi kwao Zanzibar, haya mambo ya wazanzibari kupewa vyeo bara ila wabara kubaniwa Zanzibar hayapo fair.
Waambie ukweli Hawa wazenj wao ni wabaguzi sana! Wanapewa KAZI hata wizara zisizo za muungano km tamisemi!Arudi kwao Zanzibar, haya mambo ya wazanzibari kupewa vyeo bara ila wabara kubaniwa Zanzibar hayapo fair.
Akapewe U RC kwao Zanzibar. Ni kuendelea kuvunja Katiba kuwa na MA DC Wazanzibari hapa Tanganyika. TAMISEMI sio suala la Muungano. Apelekwe kura DC MWANAKWEREKWE au TUMBEHuyu kwanini wamemnyima hata u-RC tu?
RC wa CHAKECHAKEShaka alipashwa kuwa RC
Huyu apewe U-RC walau ndio level yake Samia anakwama wapi?Huyu ni kiongozi na nusu. Ni kiongozi mchapakazi sana , mnyenyekevu,mcha Mungu na mwenye maono. Anastahili kupandishwa cheo zaidi ya hicho alicho nacho. Ikiwezekana apewe hata ukatibu Mkuu wa CCM baada ya Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi kuachia nafasi na kuanza majukumu mapya.
Kama hutaki Muungano hama hii nchiAkapewe U RC kwao Zanzibar. Ni kuendelea kuvunja Katiba kuwa na MA DC Wazanzibari hapa Tanganyika. TAMISEMI sio suala la Muungano. Apelekwe kura DC MWANAKWEREKWE au TUMBE
Aise,Huyu ni kiongozi na nusu. Ni kiongozi mchapakazi sana , mnyenyekevu,mcha Mungu na mwenye maono. Anastahili kupandishwa cheo zaidi ya hicho alicho nacho. Ikiwezekana apewe hata ukatibu Mkuu wa CCM baada ya Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi kuachia nafasi na kuanza majukumu mapya.
Ubaguzi utakuuwa weweRC wa CHAKECHAKE
Mimi Mtanganyika najivunia utanganyika wanguKama hutaki Muungano hama hii nchi
Ova,
Shaka UDC ni kejeli sana kwake huwezi kutoka Mwenezi wa Taifa kuwa DC hapa Mama hakututendea hakiView attachment 3372082
==
Nimekutana na hii taarifa kwenye group songezi la Whatsapp Kwa ruhusa yenu naomba tuijadili Kwa uwazi na haki,
Mimi mleta mada Kwa namna bwana huyu alivyoituliza Kilosa naona kama nafasi aliyonayo huyu DC Kwa sasa inambana sana atafutiwe nafasi nyingine ya juu saizi yake ili Taifa liweze kunufaika na uwezo wake huu wa kuacha alama isiyofutika kila anapopelekwa.
View attachment 3372741
===
Taarifa yenyewe ni hii:
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka ameongoza viongozi mbali mbali, wadau wa maendeleo, taasisi za kiserikali na zisizo za kiserikali katika maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika yaliyofanyoka kimkoa wilayani Kilosa.
View attachment 3372087
Katika maadhimisho hayo DC Shaka alimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Adam Kighoma Malima ambapo amesisitiza umuhimu wa kuendelea kuwalinda watoto dhidi ya majanga na maswahiba mbalimbali ambayo yanapelekea kuharibu utu wao mbele ya jamii sambamba na kuwakatisha tamaa katika kutimiza ndoto zao za baadae.
"Kauli mbiu ya mwaka huu ni Haki za mtoto , tulipotoka, tulipo tuendako ambayo inaitaka jamii kwa ujumla kufanya tafakuri ya kina juu ya upatikanaji wa haki za watoto tangu zilipoainishwa katika Sera ya Maendeleo ya Mtoto ya mwaka 2008" alisema Shaka
Hata hivyo Dc Shaka ameendelea kutoa msisitizo juu kuwaelimisha na kuwakumbusha wazazi, walezi na watoa huduma wote wajibu wao katika kutekeleza haki tano za msingi za mtoto ambazi ni haki ya kuishi, haki ya kuendelezwa, haki ya kulindwa,hski ya kushiriki na haki ya kutobagliwa.
"Niendelee kuwahakishia kuwa serkali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan pamoja na kuweka mazingira rafiki na shirikisha itaendelea kuhakikidha haki nilizozianisha na ulinzi wa myoyo unapatokana katika ngazi zote" Alisisitiza Shaka.
Recall:JAMII YATAKIWA KUWALINDA WATOTO DHIDI YA VITENDO VYA UKATILI
===
Huyu jamaa alipotelea wapi?View attachment 3372082