Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 36,453
- 23,821
Naunga mkono hoja.Shaka anapashwa kuwa RC Kwa namna anavyopambana huku Kilosa
Naunga mkono hoja.Shaka anapashwa kuwa RC Kwa namna anavyopambana huku Kilosa
Wapo wengi tuHivi Zanzibar kuna viongozi wa kuteuliwa wa bara hata moja unae mjua kuna laki yako hapa ukijibu
Mkuu kwema?Naunga mkono hoja.
Muungano Gani ambao mtanganyika haruhusiwi kugombea nafasi yeyote Zanzibar lakini mzanzibari anagombea Tanganyika.Ningekuwa karibu na wewe ningekuzaba makofi kabisa Kwa jibu lako la kijinga namna hiyoUnaelewa maana ya muungano?
Hayo manufaa kwani ni ya wazanzibari?
Ubaguzi ni ujinga
Kwema kabisa Mkuu.Mkuu kwema?
Acha ujinga wako hapa wewe. Tutaulinda Muungano wetu kwa Wivu Mkubwa sana. Muungano utadumu MileleMuungano Gani ambao mtanganyika haruhusiwi kugombea nafasi yeyote Zanzibar lakini mzanzibari anagombea Tanganyika.Ningekuwa karibu na wewe ningekuzaba makofi kabisa Kwa jibu lako la kijinga namna hiyo
Shaka Hamdu ShakaHuyu kwanini wamemnyima hata u-RC tu?
Muungano una maswala yake makhususi masuala ya Serikali za Mitaa sio suala la Muungano.Unaelewa maana ya muungano?
Hayo manufaa kwani ni ya wazanzibari?
Ubaguzi ni ujinga
Raia anaweza kuteu mtu yoyote kutoka Upande wowote wa Muungano (Katiba)Muungano una maswala yake makhususi masuala ya Serikali za Mitaa sio suala la Muungano.
Huyu gasho mla urojo kuwa Mkuu wa Wilaya ni kwenda kinyume na Masuala ya Muungano.
Haya Mambo yameletwa na huyu Mama
Hii Akaunti iliyoandika huu upumbavu ni ya Shaka Mwenyewe.. kuna akaunti zaidi ya tano ikiwemo ya Mwashambwa, Choice Venerable.nk..DC siyo jambo la muungano.
Hao ni matapeli tu
Sasa Shaka ajiandike Kwa faida ya nani?Hii Akaunti iliyoandika huu upumbavu ni ya Shaka Mwenyewe.. kuna akaunti zaidi ya tano ikiwemo ya Mwashambwa, Choice Venerable.nk..
Kwani nyie Machawa mnaomsifia Mama kwa faida ya nani ?Sasa Shaka ajiandike Kwa faida ya nani?
Na wewe si raia basi jiteueRaia anaweza kuteu mtu yoyote kutoka Upande wowote wa Muungano (Katiba)
Kwa nini hakuna dc mtanganyika kule zanzibar.Raia anaweza kuteu mtu yoyote kutoka Upande wowote wa Muungano (Katiba)
Ndio Shaka ni DC BORA sananView attachment 3372082
==
Nimekutana na hii taarifa kwenye group songezi la Whatsapp Kwa ruhusa yenu naomba tuijadili Kwa uwazi na haki,
Mimi mleta mada Kwa namna bwana huyu alivyoituliza Kilosa naona kama nafasi aliyonayo huyu DC Kwa sasa inambana sana atafutiwe nafasi nyingine ya juu saizi yake ili Taifa liweze kunufaika na uwezo wake huu wa kuacha alama isiyofutika kila anapopelekwa.
View attachment 3372741
===
Taarifa yenyewe ni hii:
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka ameongoza viongozi mbali mbali, wadau wa maendeleo, taasisi za kiserikali na zisizo za kiserikali katika maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika yaliyofanyoka kimkoa wilayani Kilosa.
View attachment 3372087
Katika maadhimisho hayo DC Shaka alimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Adam Kighoma Malima ambapo amesisitiza umuhimu wa kuendelea kuwalinda watoto dhidi ya majanga na maswahiba mbalimbali ambayo yanapelekea kuharibu utu wao mbele ya jamii sambamba na kuwakatisha tamaa katika kutimiza ndoto zao za baadae.
"Kauli mbiu ya mwaka huu ni Haki za mtoto , tulipotoka, tulipo tuendako ambayo inaitaka jamii kwa ujumla kufanya tafakuri ya kina juu ya upatikanaji wa haki za watoto tangu zilipoainishwa katika Sera ya Maendeleo ya Mtoto ya mwaka 2008" alisema Shaka
Hata hivyo Dc Shaka ameendelea kutoa msisitizo juu kuwaelimisha na kuwakumbusha wazazi, walezi na watoa huduma wote wajibu wao katika kutekeleza haki tano za msingi za mtoto ambazi ni haki ya kuishi, haki ya kuendelezwa, haki ya kulindwa,hski ya kushiriki na haki ya kutobagliwa.
"Niendelee kuwahakishia kuwa serkali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan pamoja na kuweka mazingira rafiki na shirikisha itaendelea kuhakikidha haki nilizozianisha na ulinzi wa myoyo unapatokana katika ngazi zote" Alisisitiza Shaka.
Recall:JAMII YATAKIWA KUWALINDA WATOTO DHIDI YA VITENDO VYA UKATILI
===
Kama kiboko ya wajinga naye ni mjinga KIASI hiki kwisha sisiShaka kwanini asipewe kuwa RC??
SAMIA HATUTENDEI HAKI
Hivi amesha acha ile tabia alipokuwa UVCCM ya kwenda Mombasa mapumzikoni kila apatapo nafasi?Naunga mkono hoja.
Indirect campaign 😁