PICHA: Jakaya Kikwete, Philip Mangula na John Cheyo wapaa kwenda Zimbabwe

Heh heh heh 😂😂😂Cheo amewakilisha upinzani kuwa CCM inathamini upinzani wala hawawafungi, hawawapigi risasi.
Wonders shall never end
 
Heh heh heh 😂😂😂Cheo amewakilisha upinzani kuwa CCM inathamini upinzani wala hawawafungi, hawawapigi risasi.
Wonders shall never end
Chadema nao wawaige UDP kuliko kufanya siasa za ukanda na udini waone kama wataguswa.
 
Chadema ni watu wa ajabu sana,hawajui chama kilichoshinda ni chama tawala,siku Chamissa akishinda na wao waende hakuna shida.
 
Katiba haijazungumza, lakini katiba inampa Rais Uhuru kumchagua mtu yoyote kuwa chochote ili mradi hakuna sheria iliyovunjwa.

Labda nikuulize kama Katiba imekataza Rais kuchagua mpinzani yoyote kuwakilisha upinzani

Sent using Jamii Forums mobile app
acha porojo wewe , semeni labda cheyo kawakilisha wasukuma lakini si wapinzani
 
Kwa kweli mimi huwa naikubali sana UDP, wanajua kizipiga siasa bila chuki tofauti na CUF na Chadema ninaimani UDP kitakuja kuwa chama kikuu cha Upinzani.
Hakika sura yako kwenye profile na comment zako zinaendana mkuu
 
wanasema ni yeye mwenyewe , kuna tetesi hapa jf anamiliki ID 10 , tunaendelea na uchunguzi , Chahali atakuja kuziweka wazi wiki ijayo
downloadfile.gif

Hamia huku CCM kwenye neema acha kushinda njaa.
 
Back
Top Bottom