kibabu11
Senior Member
- May 28, 2017
- 153
- 91
Ni maoni yakoVita ya kikabila au Udini ni mbaya sana na ndiyo inayoweza kufanya hivi.
Tupendane wandugu sisi wote tumeumbwa na Mungu mmoja na anatupenda wote.
Zile nchi za ukame na njaa kubwa, wazazi huwa wanawaua watoto wao waliodhoofika kama hakuna matumaini ya chakula, wengine wanawatelekeza porini.
Ila hapo hapana njaa, kwani kuna rutuba nzuri, hadi maji yapo.
Dhambi ya udini na ukabila haikubaliki.
Picha inasikitisha sana sana sana, na nifundisho kwetu, katika hali yoyote ile Mungu aliyetuumba amesema
USIUE.
Sent from my GT-I9152P using JamiiForums mobile app