[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] hata kama ni ugomvi wa wazazi she is innocent.. Gone too soonDooh. Kalinyongwa lazima. BUT WHY[emoji24][emoji24]
RIP
Sent from my IPhone 7 plus by using JamiiForums mobile app
Ugomvi wa wazazi wamuue mtoto? They are not serious. Wangejinyonga hao wamwache mtoto atimize kusudi la Mungu kumleta duniani.[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] hata kama ni ugomvi wa wazazi she is innocent.. Gone too soon
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Usihukumu ndugu,Kumbe na walozi nao hutiwa simanzi na vifo
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Ugomvi wa wazazi wamuue mtoto? They are not serious. Wangejinyonga hao wamwache mtoto atimize kusudi la Mungu kumleta duniani.
Rest In peace princess ..
Sent from my IPhone 7 plus by using JamiiForums mobile app
Sometimes ni masharti ya mganga ili ufanikiwe jambo fulani has a utajiri cheo umaarufu mahusiano kuondoa mikosi nknkVita ya kikabila au Udini ni mbaya sana na ndiyo inayoweza kufanya hivi.
Tupendane wandugu sisi wote tumeumbwa na Mungu mmoja na anatupenda wote.
Zile nchi za ukame na njaa kubwa, wazazi huwa wanawaua watoto wao waliodhoofika kama hakuna matumaini ya chakula, wengine wanawatelekeza porini.
Ila hapo hapana njaa, kwani kuna rutuba nzuri, hadi maji yapo.
Dhambi ya udini na ukabila haikubaliki.
Picha inasikitisha sana sana sana, na nifundisho kwetu, katika hali yoyote ile Mungu aliyetuumba amesema
USIUE.
Duh...inawezekana.Sometimes ni masharti ya mganga ili ufanikiwe jambo fulani has a utajiri cheo umaarufu mahusiano kuondoa mikosi nknk
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Inasikitisha sana.
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Kuna maisha baada ya kufa bro.usijali tutakwenda kumkuta.duniani tunapita.
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app