Picha iliyoniboa sana leo hii..

Mdada unavaa hivi Unategemea nini?????

miami18.jpg

Ni kweli. Inaboa. Lakini yote haya yameandikwa kwenye Vitabu Takatifu vya Allah!

"Utafika wakati wanawake watakuwa wanavaa nguo lakini wataonekana hawajavaa nguo."

Hizi ndizo siku za mwisho hizi. Yaliandikwa haya. Usishangae.

Mwana wa Haki
 
let her live her life,
kila mtu na choice/preference zake..
hata wewe ukiamua kufunika mwili wote kwa vitenge...
hakuna atakayekuhoji,

hakuna kitu kwa mwanamke...kama kuvaa nguo na kufeel,you are one sexy bomb!
deep inside is what we always crave/desire
labda kama huna confidence..
na mwili wako hauruhusu...
ila we all want to be strippers...sometimes..!:A S 100:

mmh ok!
 
mama wa kwanza punguza hasira bibie.........................!kaka zako ndio pipi zetu za macho hizi.................!
 
Afu kama umegundua FL1 huyo dada si mkali wala nini ndo maana anajitembeza
 
halafu kademu kenyewe kabaya, hakuna makalio hapo na wala hakuna mwanamke nyonga hapo.
 
wanawake wengi tunadharaulika sana kwa sababu hatuna heshima. Hivi kweli hapo mwanaume akija kukutaka kimapenzi unafikiri baada ya kukidhi haja zake anaweza kukuwazia kindoa?

Wanawake lets be serious, oneni mbali jamani! mavazi mengine waachieni hao walimong'onyoka ubongo!
 
FL1
mwenzio naipigia nyeto kila siku avatar ya CheusiMangala
Unaona tunavyotegwa?
 
Hawna maana hawa dada zetu wa cku hizi. wewe unadhani kwa kuonesha sehemu kubwa ya utupu wako nani atakutaka? Mnaiga uzungu eeh!!! UTAPASUKA MSAMBA
 
Sijaona ubaya wowote wa hilo vazi la huyo dada. Kavaa kapendeza. Pengine wanawake wengine hawajui kuwa wanavaa kwa taste ya wanaume, na si kwa taste ya wanawake. Alivyovaa hivyo huyo dada mi nimeona kapendeza sana na nikikutana naye nitamtazama mara mbilimbili, ananivutia yaani. Nani asiyependa kutazama kinachovutia? Tuache unafiki.

Mimi bwana napenda mwanamke avae aonekane sexy, hata nikiwa nafanya naye kazi ofisi moja nafurahia kuja kazini, sio kwamba namtaka nikamlale, lakini anachangia kupendezesha yale mazingira kama tunavyoona maua mazuri bustanini.

Wanawake pendezeni, sisi wanaume liberals tunawaunga mkono. Hao mahafidhina walioathiriwa na dini za wazungu na waarabu wasiwababaishe.
 
duuh we Mtu B wewe ndo maana ulisalimika :becky::becky::becky:
 
Mimi nafikiri kwanza tujue matumizi ya hayo mavazi, hivi ni vazi gani hilo? Designer alikuwa nafikiria nini? Nilisikia kuwa designers wa nguo za kike wanazingatia saikilojia na mabadiliko ya kibaiolojia ya wanawake kama "ovulation". Inasemekana wanawake wakiwa kwenye ovulation wanapenda kuvaa vinguo vya uchi uchi tu!! Huyo yuko kwenye Miss Tanzania behind the scene!!!!!!!!!!!!!
 
Anaonyesha hicho kitu cha mkanda mmoja amenunua bado kipya

Mageuzi haya bwana unajua zamani ilikuwa ukiwa na mpenzi wako ukitaka kujua makalio yake hayana vipele unafunua chupi!siku hizi wapi bwana imegeuka ukitaka kuona chupi nilazima ufunue makalio!!!:becky:
 
Back
Top Bottom