Picha iliyoniboa sana leo hii..

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,373
Mdada unavaa hivi Unategemea nini?????


miami18.jpg
 
dada hiyo ni psychotic disease ya attention seeking... huyo anaweza hata kujamba hadharani ili mradi awe noticed tu

wewe hujawahi ona libaba zima kwenye baridi limevaa singlend???
 
Je;Hiyo Blong ni ya Pono au????

Sio Blog ya pono Leopold ni blog ya mbongo mmoja ......nimejikuta na maswali mengi kama ni ndugu yangu ningeweza kumwambia sissy hapo umevuka mipaka hayo mavazi kweli ni ya faragha ..naona Askofu atamuombea
 
FL1, mbona kama yuko chumbani huyo na aliyempiga hio picha ni jamaa yake kabla au baada ya game vile !!!

Vazi kama hilo utembee nalo ndani ya street za bongo akhaa, next ni kubakwa tuuu...
 
FL1 Pole sana. Hiyo ndiyo anwai (diversity) ya kufikiri na kutenda katika binadamu. Mungu amusaidie. Amen. Ngoja; Pengine alifikiri yupo summer time huko kwa walami (NORWAY AU SWEDEN SIJUI?) maana ndio hushindana kuoneshana nguo za ndani wao uziita summer costumes. Tofauti na wao huwa wanavaa miwani myeusi usoni ili kuficha sura zao.
 
Hili vazi ni special wakati wa joto kali, anaogopa asiungue kwa joto la ukanda wa utamu street
 
Kuna thredi kule MMU inayosema weupi wa nguo ni usafi....anaonyesha usafi wake....
 
Back
Top Bottom