Seleina Tikili
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,410
- 2,730
Yani mkaka wa watu anajituma kumhudumia mdada.
Alaf all in all anakutishia atakuacha.kisa na maana kuna lengo fulan hujamtimizia.
Ata yale umefnyia hakumbuk.yaan kwa nn mna tutesa hivi.