HayaWewe acha hizo basi bibie.
Jamani pole, mboya umekubali au umeitikia kwa unyenyekevu hivyo? It was just kidding.Haya
Sio tunaogopa wazungu,mzungu alichokifanya hapa dunian si cha kawaida,..au we unaona ni kawaida?mzungu amesha acomplish yoote,..mswahil kafanya nin?lazma mzungu aogopwe shekhe.Daah kuna watu mnaogopa wazungu aisee.
Hata wakinya juu ya meza mtasema alikua anakula.
Halafu mbona huyo Bodyguard wa JPM mbona kanuna hivyo?? Mbona kavuta domo hivyo?? Inamaana kuwa usalama lazima unune namna hiyo?? Huwa hawaangalii wenzao wa nje?mbona huwa wako kawaida tu kwa mwonekano wa nje Ila wako vizuri linapokuja swala LA utekelezaji wa majukumu?? Usalama mliomo humu Waambieni Jamaa wabadilike bhana
Maelezo yako ya mwanzo hayashabihiani na unachokisema hapa mkuu.
Wewe ni moja kati wale wanaowahanya watu weupe.
vipi kitila na mgimwa walipo isaliti chama lao je hao nao wapo pande ipi? au unasubiri ukuu wa mkoa ili hizi kauli zako na wewe uziache?magufuli ni mchumia tumbo km walivoccm wote....ameshindwa na ama amedanganya kila alichowahi kusimamia
1. Samaki wa magufuli alishindwa na kuliinhizia taifa hasara kubwa
2. Lugumi hiyo yeye yumo na imemshinda hawezi kujichukulia hatua
3. Kivuko kibovu alileta yeye wala hajajikamata na kujishitaki
4. BASHITE tu amemshinda sembuse Marais waliopita ambao alishasalimu amri hadi kuteua mke wa rais kuwa mbunge
5. Hajaweka mezani mkataba wa chatointernational airport???!!
6. Yeye binafsi hajaweka wazi mkataba wa bormberdier watz wanajua dili alizofanya yeye binafsi....
7. Hajaonesha hata nukta ya uzalendo kwa yale ambayo yeye binafsi ameshinikiza na kupazimishwa yafanyike.
8. Watz mtachezeshwa sn shere na ccm hukumnawalaumu wazungu na wachina kwa kiwaibia wkt wezi wenu ni ccmmnaowachekea
Raisi John Magufuli ameoneka kummudu sana Huyu mzungu, picha inafafanua Uchungu na Confedence ya juu mno..
Kama ni Caption ningesema hivi.
JPM : You must pay our money , no way , Ok ? .
JLT : Yes Mr. President
Hapana mkuu huwezi kuongea na mkubwa wako Huku umemshika begani kama mtoto, hapo bwana Thornton kawa belittled kwa kushikwa begani kama mtoto. Baba anaweza mshika mwanae begani namna hiyo wakati wa mazungumzo ila Mtoto hawezi mshika baba hivyo.Kweli aliesema 'a picture is worth a thousand words hakukosea'
Wengine tunaona vingine kabisa
Tunaona mzungu akimtazama mtu usoni na kumuuliza
nani mwizi? na mswahili akilazimisha urafiki na kujifanya yashakwisha
Hapana...Mi siezi sema hivyoMzungu mzungu tu hata angekuja kavaa Boxer mngesema level of civilization..
Raisi John Magufuli ameoneka kummudu sana Huyu mzungu, picha inafafanua Uchungu na Confedence ya juu mno..
Kama ni Caption ningesema hivi.
JPM : You must pay our money , no way , Ok ? .
JLT : Yes Mr. President
Lakini pamoja na hayo kakimbia fasta kutoka Canada kutafuta negotiations. kumbe haijalishi ulisoma lini mkuu akikuita huna budi kuitika tena fasta