Picha: Huyu ndiye mke wa Ali Kiba

Picha: Huyu ndiye mke wa Ali Kiba

anachotakiwa kuwaza kiba ni kwamba,furaha yake ya maisha anayo yeye mwenyewe....
furaha yako ni wewe mwenyewe,ni makosa kujiaminisha furaha yako anayo mwanadamu mwenzako.....
 
mwanaume roho yake tofauti na ya mwanamke.. mwanaume akishajua flan kamtia demu huyu basi anakuwa na kinyaa... si rahisi sana kumuweka ndani labda kama mwanaume ni kiben 10
Jiongelee wewe. Mbona watu wanakula madem kibao tu walioliwa na wengine na wanaoa kabisa wanaweka ndani
 
Sa huyo mbona kazidiwa na wifi kwa Kiba
mimi nishakuambia napenda muafrika..unamuona olga demu wangu wa st peters, sasa huyu na wewe na demu wa iba nani mkali?
ni suala la mtu binafsi anapenda nini.. ila ukiweka ulimbukeni na exposure pembeni
 

Attachments

  • olya 2013.png
    olya 2013.png
    70 bytes · Views: 48
Back
Top Bottom