Ibrahim augustine
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 428
- 578
Anaitwa Amina Rikesh
Umemuonaje toa maoni
Umemuonaje toa maoni
Ulimpeleka wap innarangi tu ndio inambeba...
Unataka kumaanisha n alshababuAna sura ya ukatili hawafiki mbali!
Inna yupo maternity leave. amejifungua mtoto ... atarudi jukwaani mwezi ujao. haya kawaambie wenzako na nisisikie hili swali tenaUlimpeleka wap inna
Si ni ya kwake? Au unadhani uzuri ni nini? Ni pamoja na rangi yakorangi tu ndio inambeba...