Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,402
- 88,872
Olga????? Simjui huyo hujanipa file lake vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Bwana uzuri wa mtu uko kwa mtu. Mi namuona mkali balaa. Au mimi sina tu matunzo naweza kuwa kama yeye?mimi nishakuambia napenda muafrika..unamuona olga demu wangu wa st peters, sasa huyu na wewe na demu wa iba nani mkali?
ni suala la mtu binafsi anapenda nini.. ila ukiweka ulimbukeni na exposure pembeni