Jeiefu
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 781
- 1,581
Asante umejibu kiufasaha kabisaLakini pia kamsemo hako hugeuka na kusema SURA YA KITABU HUAKISI YALIYOMO, wahenga bwana
anyway changanya na zako
Asante umejibu kiufasaha kabisaLakini pia kamsemo hako hugeuka na kusema SURA YA KITABU HUAKISI YALIYOMO, wahenga bwana
anyway changanya na zako
Sasa kama we umenizalisha halaf hunioi anioe nanimbona hamna bikra .. mmezipeleka wapi bikra zote nne za watu wawili
hahaaa wamechangamkia fursa ""prince William leo anaoaTukutane vibanda umizaView attachment 749749
Si kaoa kipendacho roho,ila nimeumia kaacha kumuoa jojo kwelii hatujafurahia kwa kweliwalaaaa.. sasa huyo demu kamzidi nini mzigua?
ila ujue kila mwanaume ana ladha zake.. kama mimi siwezi kuoa mwarabu.. mimi nataka mwafrica ndani..kwa hio ni suala la ladha ya kila mtu
Hahahaaaa. Sawa.nijibu pm yangu
ila kweli ujinga unaanzia kwa wanaume.. ila swali ni je unaoleka? sio nakuweka ndani ila kumbe bado jhujamaliza kula ujana wakoSasa kama we umenizalisha halaf hunioi anioe nani
Nitakupitia tuende zetu kibanda umiza rafiki. Hahahaaaa.Tukutane vibanda umizaView attachment 749749
Duh!!!hii pictr ya pili "" mbona kama wale Malaya wa kimboka
Mpaka kitendo cha kukuzalia mwana unatakaje,usijali mwakani yajayo yanafurahishaila kweli ujinga unaanzia kwa wanaume.. ila swali ni je unaoleka? sio nakuweka ndani ila kumbe bado jhujamaliza kula ujana wako
AiseeeeAna sura ya ukatili hawafiki mbali!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hii pictr ya pili hiyo michirizi sasa ...kama atlas
Hahah!! Acha tu mzeehahaaa wamechangamkia fursa ""prince William leo anaowa
Huo wivu tu, mto anasura ya kutosha wala sio ya kuungaunga.rangi tu ndio inambeba...
mwanaume roho yake tofauti na ya mwanamke.. mwanaume akishajua flan kamtia demu huyu basi anakuwa na kinyaa... si rahisi sana kumuweka ndani labda kama mwanaume ni kiben 10Si kaoa kipendacho roho,ila nimeumia kaacha kumuoa jojo kwelii hatujafurahia kwa kweli
Ukichelewa mimi nakuacha...Nitakupitia tuende zetu kibanda umiza rafiki. Hahahaaaa.
Sa huyo mbona kazidiwa na wifi kwa Kiba
Hajar mwingine huyu hapaToo much jeuri nimesoma nae
Hakuna kitu wala sio sababu hiyo basi muoe bikiramwanaume roho yake tofauti na ya mwanamke.. mwanaume akishajua flan kamtia demu huyu basi anakuwa na kinyaa... si rahisi sana kumuweka ndani labda kama mwanaume ni kiben 10