Picha: Huyu ndiye mke wa Ali Kiba

Anaitwa amina rikesh
Umemuonaje toa maoni View attachment 749699View attachment 749700

Mbona hata ' House girl ' wangu tu ' Kemmy ' amemzidi mbali sana? Ali Kiba ameniangusha sana yaani ' Kaoa ' Mwanamke wa kawaida mno asiye na mvuto wowote. Ni matumaini yangu Fundi / Mtalaam Nasib Abdul ( Diamond ) hatorudia huu ' Upuuzi ' wa Kuoa Mke mbaya kama alioufanya Ali Kiba. Kuanzia leo nimemvua ' Taji ' Kiba na sasa namvalisha Diamond.
 
Kiba kaoa mwanamke aliyevutiwa naye yeye kama yeye,hakuoa ili wewe uvutiwe naye.
 
Mbona hata ' House girl ' wangu tu ' Kemmy ' amemzidi mbali sana? Ali Kiba ameniangusha sana yaani ' Kaoa ' Mwanamke wa kawaida mno asiye na mvuto wowote. Ni matumaini yangu Fundi / Mtalaam Nasib Abdul ( Diamond ) hatorudia huu ' Upuuzi ' wa Kuoa Mke mbaya kama alioufanya Ali Kiba. Kuanzia leo nimemvua ' Taji ' Kiba na sasa namvalisha Diamond.
Mkuu huu uchambuzi wako umekaa kimahaba zaidi
 
mtoto shape bana..tabia tutaelekezana
 
Attachments

  • thumb_tiryvgf3nexip55ad70fed4494e.jpg
    thumb_tiryvgf3nexip55ad70fed4494e.jpg
    10.9 KB · Views: 85
Mbona hata ' House girl ' wangu tu ' Kemmy ' amemzidi mbali sana? Ali Kiba ameniangusha sana yaani ' Kaoa ' Mwanamke wa kawaida mno asiye na mvuto wowote. Ni matumaini yangu Fundi / Mtalaam Nasib Abdul ( Diamond ) hatorudia huu ' Upuuzi ' wa Kuoa Mke mbaya kama alioufanya Ali Kiba. Kuanzia leo nimemvua ' Taji ' Kiba na sasa namvalisha Diamond.
Diamond mbona alishatia sign hapo mudaa. Hajaweka ndani tu
 
Back
Top Bottom