Picha: Huyu ndiye mke wa Ali Kiba

Picha: Huyu ndiye mke wa Ali Kiba

Mzuri wifi. Kafanana flani na Wema usoni
Imenibidi nifanye kulinganisha
tapatalk_1524123648617.jpeg
IMG_20180419_103717.JPG
 
Kiba kaoa mwanamke aliyevutiwa naye yeye kama yeye,hakuoa ili wewe uvutiwe naye.
Kila mtu anaoa kulingana na kile kilichomvutia yeye mwenyewe kweli, na ukifatilia wanawake wengi wanaofanya ushenzi mitandaoni ni watoto wakali kinyama ila wanaoolewa wengi wao ni wale wakawaida tu.

Hapo ndio utajua kuoa kunasifa za ziada tofauti na muonekano
 
Back
Top Bottom