Oworuganda
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 2,187
- 2,800
Mzuri kwa muonekano japokuwa hatujui huko ndani.
Ila sura naona imekaa kiukali japokuwa mie naona ndio poa ili apate kupambana na vile vijizi vya waume za watu.
Anakuwa body guard wa Kiba [emoji3][emoji16][emoji16]