PICHA: Huyu hapa mfanyakazi bora

PICHA: Huyu hapa mfanyakazi bora

View attachment 3582626
PPPC Yamtunuku Mwanaid Araba Tuzo ya Mfanyakazi Hodari 2025|2026
==
Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimempongeza Mwanaid Araba, Afisa Mwandamizi Msimamizi wa Fedha, kwa kuchaguliwa kuwa Mfanyakazi Hodari wa mwaka 2025|2026.

Menejimenti na watumishi wa kituo hicho wametoa pongezi kwa mchango wake katika maandalizi na uchambuzi wa miradi ya PPP.
Hongera sanaa
 
Nilitegemea Fausti Mafwele ndiye awe mfanyakazi bora maana ameteka na kuua watu wengi sana
 
View attachment 3582626
PPPC Yamtunuku Mwanaid Araba Tuzo ya Mfanyakazi Hodari 2025|2026
==
Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimempongeza Mwanaid Araba, Afisa Mwandamizi Msimamizi wa Fedha, kwa kuchaguliwa kuwa Mfanyakazi Hodari wa mwaka 2025|2026.

Menejimenti na watumishi wa kituo hicho wametoa pongezi kwa mchango wake katika maandalizi na uchambuzi wa miradi ya PPP.
Hongera zake
 
Back
Top Bottom