PICHA: Huyu hapa mfanyakazi bora

PICHA: Huyu hapa mfanyakazi bora

Ukishamjua Boss wako anafurahishwa na nini we mfurahishe tu (kwa jambo lisilokufedhesha).

Kuna mwaka Jiwe akiwa Rais eti kuna shule za Chato za serikali zikawa zinaongoza kitaifa...😂🤣🤣... kama haukuwa mchongo kwanini leo haziko hata kwenye 200 bora?

Hata hili la huyu bidada Mwanaidi nalo acha litapita kama comedy nyinginezo.
 
View attachment 3582626
PPPC Yamtunuku Mwanaid Araba Tuzo ya Mfanyakazi Hodari 2025|2026
==
Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimempongeza Mwanaid Araba, Afisa Mwandamizi Msimamizi wa Fedha, kwa kuchaguliwa kuwa Mfanyakazi Hodari wa mwaka 2025|2026.

Menejimenti na watumishi wa kituo hicho wametoa pongezi kwa mchango wake katika maandalizi na uchambuzi wa miradi ya PPP.
Kwani ni Nani huyu ?
 
Wakiristo mkiona hivi mnaumia sana. Mlizoea kutudanganya wakati hakuna mitandao kama nyinyi ndio wasomi na wachapakazi pekee na wengine watu wa madrasa. Yaani mlikua kama USA kuidanganya dunia kwamba ndio jeshi lenye nguvu kabla ya vita vya Iran
Acha mambo ya udini
 
View attachment 3582626
PPPC Yamtunuku Mwanaid Araba Tuzo ya Mfanyakazi Hodari 2025|2026
==
Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimempongeza Mwanaid Araba, Afisa Mwandamizi Msimamizi wa Fedha, kwa kuchaguliwa kuwa Mfanyakazi Hodari wa mwaka 2025|2026.

Menejimenti na watumishi wa kituo hicho wametoa pongezi kwa mchango wake katika maandalizi na uchambuzi wa miradi ya PPP.
Hongera sanaaaaa
 
Huyu mwanamke aliyeko pichanini ni mzuri sana aisee!

Halafu choko Moja anayejiita Makebo ananijia PM na tako lake jeusi kama mkaa akitaka nimdinye.

Aah hapana bhana wanawake wazuri kama huyu aliyeko pichanini ni mahususi kwa kazi hiyo.

ELI COHEN,

Seran
Kuna binadamu anajiita "makebo"?Tunapoelekea atakuja mwingine ajiite Keba na yoo!
 
Back
Top Bottom