Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,249
- 44,578
We have better issues to worry about.
Mkuu ni ww au hackersNimevumilia lakini nimeshindwa kujizuia.. nani anatakiwa kusimamia hili dubwasa likawa presentable... Limekuwa hivi hivi kwa karibu mwaka wa tatu sasa.. na hivi liko moja tu?
View attachment 948666
Sijui kwanini inanikumbusha dawati langu shule ya Msingi Golfu Juu...
Huko lumumba leo mmpewa nini? Mbona kama siwaelewi?Nimevumilia lakini nimeshindwa kujizuia.. nani anatakiwa kusimamia hili dubwasa likawa presentable... Limekuwa hivi hivi kwa karibu mwaka wa tatu sasa.. na hivi liko moja tu?
View attachment 948666
Sijui kwanini inanikumbusha dawati langu shule ya Msingi Golfu Juu...
Moja ya faida ya uvutaji wa bangi uzeeni,unaamka Na mambo yasiyo na tija kwa Taifa.Nimevumilia lakini nimeshindwa kujizuia.. nani anatakiwa kusimamia hili dubwasa likawa presentable... Limekuwa hivi hivi kwa karibu mwaka wa tatu sasa.. na hivi liko moja tu?
View attachment 948666
Sijui kwanini inanikumbusha dawati langu shule ya Msingi Golfu Juu...
MWANZO WALITEGEMEA WATAKAOPATA UBATIZO WA MOTO NI WAPINZANI TU, SASA UBATIZO WA MOTO UMEINGIA HADI CHUMBANIHuko lumumba leo mmpewa nini? Mbona kama siwaelewi?
...haujamuelewa mkuu,..hebu msome kwenye mistari kwa utulivu utakuja gundua wote mnawaza na kunena mamojaUseless, kwhy ndo ulichoona cha kukosoa kuhusu utawala huu?mambo ya msingi unaacha unafatilia vitu vya ajabu,mzee mwanakijiji unasikitisha sana siku hz
Dubwasa kubwa.Dubwasha lipi sasa maana yapo mengi