mimi je?Kila kifanyikacho tanzania, kwangu ni drama!! Nasikia kuchekaaaaaaa!
Mi imenichekesha hii ndege, sijui ni ya kwendea kwenye space?Kila kifanyikacho tanzania, kwangu ni drama!! Nasikia kuchekaaaaaaa!
Duh! Tanzania ni zaid ya uijuavyo
But sidhani kama wanauhitaji sana huo uwanja, madai yao wamejenga barabara ya lami wanadhani inatosha
Mi imenichekesha hii ndege, sijui ni ya kwendea kwenye space?
Mbona picha ya ofisi ya wahudumu na hiyo Helikopta inayojiandaa kutua hazionekani au laptop yangu ina kwikwi!!!!
Tiba
hakika, maana kachora ndege kama boti ya Bakhresakuna mtu alijifunzia kwenye hilo bango namna ya kuchora ndege hahahaha!!
:A S-confused1: mi too my dear!kweli!!!!! :confused2::confused2:, niko confused,.,.!
n time inaweza tokea miujiza hapo my dear! mzima wewe??hivi huo ni uwanja wa ndege(aeroplane) au ni uwanja wa ndege(birds)?