Picha: Hii ndio Singida airport

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797

[h=3][/h]



1.JPG

Hili ni bango utakalokutana nalo ukiwa unaelekea uwanja wa ndege wa Singida uliopo maeneo ya Sabasaba.
2.JPG

Hii ni ofisi ya wahudumu wa uwanja wa ndege wa Singida.
3.JPG

Maandhari ya uwanja wa ndege wa Singida unapoingia.Hapo ndipo ndege zinapotuwa na kupaa.
4.JPG

Helicopter ikijiandaa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Singida.
PICHA KWA HISANI YA CHUMA BLOG
 
Uzuri wa Tanganyika ya JK Nyerere kila MKOA lazima Uwe na Uwanja wa NDEGE hata kama ni VUMBI; Hivyo basi Wakati wowote Utahitajika KUTUMIKA

Ukiangalia KENYA Pamoja na MAENDELEO yake VIWANJA VIPO Maeneo ambayo yana RANGI ya KIJANI ukiwa ANGANI
Maeneo ya TURKANA inabidi uwe ha HELIKOPTA; Maendeleo hayo ni ya KIBINAFSI
 
Duh! Tanzania ni zaid ya uijuavyo
But sidhani kama wanauhitaji sana huo uwanja, madai yao wamejenga barabara ya lami wanadhani inatosha
 
Mbona picha ya ofisi ya wahudumu na hiyo Helikopta inayojiandaa kutua hazionekani au laptop yangu ina kwikwi!!!!

Tiba
 
Na la kuongozea ni kua tumeadhimisha miaka 50 ya uhuru lakini Wilaya ya Mbulu imeripotiwa mpaka sasa hivi watu takribani 72 washakukufa kwakukosa huduma ya vyoo kutokana na magonjwa ya homa ya matumbo kutokana na kujisaidia ovyo!

NaUpload picha muone.
 
Duh! Tanzania ni zaid ya uijuavyo
But sidhani kama wanauhitaji sana huo uwanja, madai yao wamejenga barabara ya lami wanadhani inatosha

HAUJUI wamegundua MADINI SINGIDA? na UMEME wa UPEPO MITAMBO YOTE MENGI yanabebwa na NDEGE toka NJE ya NCHI yataenda MOJA kwa MOJA hadi SINGIDA badala ya kutua DAR na USUMBUFU wa DAR
 
Kila kifanyikacho tanzania, kwangu ni drama!! Nasikia kuchekaaaaaaa!

LABDA TANZANIA ya SASA hivi ni kichekesho; Lakini ya ZAMANi ilikuwa na AKILI bila PESA ya TANZANIA ya SASA ilivyo nazo
 
Mbona picha ya ofisi ya wahudumu na hiyo Helikopta inayojiandaa kutua hazionekani au laptop yangu ina kwikwi!!!!

Tiba

Nakumbuka kabla ya VITA vya UGANDA na tulikuwa bado tunategemea ndege za EAST AFRICA; NDEGE ni za MIZIGO TU zilikuwa zinatua MWANZA na SIO za ABIRIA ilikuwa wengine MUENDE MWADUI kupanda NDEGE sababu enzi hizo WAZUNGU wengi palikuwa pameendelea...

Halafu baadaye SIMU inapigwa kuwa NDEGE inakuja kutua MWANZA; WAONGOZA NDEGE na FIRE na MAOFISA wanatoka MWANZA MJINI kuipokea HIYO NDEGE halafu Wanafunga kiwanja wanarudi MJINI

MPAKA EA ilipovunjika na NYERERE kununua zile BOEING ndio hapo sasa UWANJA ukawa LIVE...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom