PICHA: Hii ndio hali halisi katika wodi za hospitali ya taifa Muhimbili leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA: Hii ndio hali halisi katika wodi za hospitali ya taifa Muhimbili leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Jul 4, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  [h=1][/h]


  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  Picha zote kwa hisani ya MO Blog
   
 2. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,470
  Likes Received: 5,930
  Trophy Points: 280
  mkuu inasikitisha sana jengo la watoto naona jeupe si vitoto vitakuwa vinajifia tu. muhimbili ambayo watu wanalala chini leo imegeuka ghost hospital na bado kamati ya ulinzi na usalama dar wanasema huduma zinaridhisha!!
   
 3. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Watanzania mnapiga kura kama vipofu, halafu mnalalama kama vichaa!! Tulieni mnyooshwe vizuri hadi hapo mtakapopata akili 2015!
   
 4. Kijana leo

  Kijana leo JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,872
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  kuna radio 1 leo wamesema MNH ma dr warudi kazini, wanamdanganya nani ss? Ifike mahali propaganda ziachwe.
   
 5. Third Eye

  Third Eye JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 330
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Kwa wanasiasa hiyo yahesabika kama collateral damage,
   
 6. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  NDUGU YETU WILLIAM ANASEMA KATI YA VIJANA WA CCM MMOJA HUYU HAPA KWENYE PICHA NDIO WANAFANYA MUHIMBILI KUWA

  INAFANYA KAZI... LAKINI WODI NYINGI NI EMPY; SASA SIJUI WAKO WAPI KWENYE MAENEO YA MUHIMBILI  • [​IMG]
   Mr. Kasesela


   BY William J. Malecela   CCM SIKU ZOTE INA VIONGOZI WA KESHO NA HUYU NI MMOJA WAPO WA WANAOIFANYA MUHIMBILI HOSPITAL SASA HIVI IENDELEE, HASA KULE MOI!! KIDUMU CCM!! - LE MUTUZ!!


   
 7. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Mr.Dhaifu kama anapata mda wa kwenda Rwanda, kweli hayuko serious.Kwa hili Dhaifu Gvt imegonga mwamba
   
 8. R

  RC. JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 446
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ohhh!my GOD what does this mean,hizi propaganda hata shetani alikua akizifanya pindi mungu alipo mtuma MUSA kwenda kuwakomboa wana wa ISRAEL,pale mungu alipoonesha miujiza yake kwa farao,shetani naye akapeleka vimiujiza vyake uchwara ili kumpa kiburi farao kuwa nae anaweza,sasa haya ndo yanayofanywa na serikali kuaminisha watu kua imesikilizwa kumbe HOLA!!!!!!!!!!!!!!
   
 9. M

  Mkandara Verified User

  #9
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Ina maana wamegoma tena au hawajarudi kazini, tulipigwa changa la macho tu!
   
 10. a

  andrews JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ccm hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee:A S-baby:
   
 11. H

  Henry Philip Senior Member

  #11
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 29, 2008
  Messages: 114
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wadau, hii imenigusa sana. Lakini tumshukuru mungu kwa kila jambo na tuzidi kumwomba ili atunusuru na hali mbaya sana inayotukabili. Kimsingi wanaoumia ni sisi wananchi hasa wale walala hoi. Ni wazi kuwa madaktari wanadai haki ya msingi sio tu kwa wao wenyewe bali kwa taifa zima pia. Tuombe kwa nguvu hii mambo ipite japo twaumia. Mungu wa miungu na atupiganie.
   
 12. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Sasa tanganyika hatuna budi kujvunia mafanikio tuliyo yapata kwa upande wa AFYA kama tumeweza kutokomeza maradhi kiasi cha wodi zote kubaki tupu!!!!pongezi sana kwa sirikali yetu japo mnatukejeri mnasema ni DHAIFU.Sasa mmejionea wenyewe,na baada ya mafanikio aya kwa upande wa AFYA sasa nguvu zetu zote tunazielekeza kwenye ILIMU. KIGUMU CHAMA TAWALA Kudadadadeeeeeeeeeeeeeki
   
 13. Manager

  Manager JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 532
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Msiwe na wasiwasi hali inaendelea vizuri--rejea propaganda za taarifa za Muhimbili jana
   
 14. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mpaka pale tutaheshimiana na kuthaminiana kama wanadamu ndipo kila mmoja wetu ataweza kujivunia utaifa wake!!
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Walienda uwanja wa ndege:

  [​IMG]
   
 16. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Wagonjwa karibuni wote walipona ,na wagonjwa wapya hawakuwepo kwani mgomo huu umesaidia watu wengi sana kuwa immune au tuseme miili ya Watz imeweza kuzuia maradhi yasiwaingie ,miili ilijirekebisha kwa kutoa hormones maalum za kuzuia kupata maradhi ,baada ya ubongo kuwasha stimuli zinazouelekeza mwili kuwa hakuna madaktari hospitalini,yaani nguvu ya mwili ya kujikinga ilifanya kazi zaidi ya asilimia mia moja.
   
 17. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,315
  Likes Received: 2,601
  Trophy Points: 280
  Kwa hayo maneno ya Malecela, naanza kuhisi kuna mkono wa vyama vya siasa katika huu mgomo.
   
 18. h

  hans79 JF-Expert Member

  #18
  Jul 5, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Tupo wapi, tulikuwa wapi na tunaenda wapi?
  Kweli maisha yetu yamefikia hapo!
   
 19. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #19
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ni moja ya njia za maisha tunamopita
   
 20. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #20
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  umejitahidi
   
Loading...