Picha hii inatuaibisha watanzania

Ila ukiwa kilema haimaanishi ufanye utakavyo sheria zifuatwe, na ukiwa police haimaanishi upige kila mtu maadili ya kazi yafuatwe
 
Kuna picha za kutisha tunazo ziona zinazo tokea kwenye nchi zisizo salama, hizo picha tukiziona mitandaoni, hazitushangazi kwa vile nchi hizo hazina usalama kwao kujeruhi,kuuwa,kubaka hata Kula nyama ya binadamu nikawaida tu.

Kwa hapa Tanzania ni tofauti, sababu Tanzania inajulikana duniani kuwa ni nchi salama duniani na ni kisiwa cha amani na ni nchi yenye kulinda haki za binadamu na ni nchi inayo sifiwa kuwa polisi wake wana weledi wa kulinda haki za raia wake.

LAKINI KWA PICHA HII HAPA

a612623220d91416207113f7e4645c53.jpg

Kama ni ya ukweli(sio edit wala maigizo) itatuharibia sifa ambazo jeshi letu la polisi pamoja na chama tawala (kwenye picha kuna kiongozi wa chama) walizo nazo, kwa sababu kwenye nchi zenye utawala bora, haija wahikutokea POLISI amfanyie KILEMA kitendo cha aibu kama icho
Cha mtoto hiyo.

Umeona za trafiki waliouawa Kibiti?

Nguo nyeupe za trafiki polisi zimelowa damu nyekundu.

Halafu kuna watu bado watasema Tanzania ni kisiwa cha amani.
 
Kuna picha za kutisha tunazo ziona zinazo tokea kwenye nchi zisizo salama, hizo picha tukiziona mitandaoni, hazitushangazi kwa vile nchi hizo hazina usalama kwao kujeruhi,kuuwa,kubaka hata Kula nyama ya binadamu nikawaida tu.

Kwa hapa Tanzania ni tofauti, sababu Tanzania inajulikana duniani kuwa ni nchi salama duniani na ni kisiwa cha amani na ni nchi yenye kulinda haki za binadamu na ni nchi inayo sifiwa kuwa polisi wake wana weledi wa kulinda haki za raia wake.

LAKINI KWA PICHA HII HAPA

a612623220d91416207113f7e4645c53.jpg

Kama ni ya ukweli(sio edit wala maigizo) itatuharibia sifa ambazo jeshi letu la polisi pamoja na chama tawala (kwenye picha kuna kiongozi wa chama) walizo nazo, kwa sababu kwenye nchi zenye utawala bora, haija wahikutokea POLISI amfanyie KILEMA kitendo cha aibu kama icho
wakafanye huu ukuda wao kibiti
 
Kweli ka

Kweli kabisa ata mimi sipendi kama ile ya Lucy Vicent bado ipo akilini hadi leo
 
Mi nafikiri kuwa suala la kila mtu kufuata sheria halihusu jinsia wala ulemavu. Nakubaliana nao kuwa walemavu huwa wanapewa vipaumbele na kusikilizwa pale wanapokuwa na madai yao na pia hata waziri yupo kwa ajili yao.

Tatizo kubwa ni hili la kila mtu akiwa na tatizo fulani basi maandamano au kufunga barabara ndo solution. Hili halikubaliki kwa community ambayo Kuna utawala wa sheria. Hakukuwa na haja ya kufunga barabara Zaidi ya viongozi wao kwenda kumuona kamanda mpinga.

Polisi nao pia wanapenda kupumzika na wake zao, kucheza na watoto wao, mtoko na wake zao na kutunza familia. Sasa wanapokuwa wanavurugwa kwa mambo ambayo yanaweza kutatulika kiurahisi

Fikiria na upande wa pili hawa wanaweza kuwa wamejitahidi sana kukutana na wenye mamlaka na kuna watu wakawakwamisha. Si rahisi wao waamke tu nakutaka kuandamana.

Hata watoto wa shule wakigoma uwa wameshatoa malalamiko yao na kwa mtazamo wao wanaona wanapuuzwa.
 
Kuna Cku Wanafunz Wa U.D Waliandamana Kuna Demu Alijfcha Mtaroni, Bac Alisubriwa Na Askar Km 6 Hv Na Mitutu Yao, Haya Ni Matumiz Ma Baya Ya Human Resource. Mtu Km Alipata Zoro Form4 Anaweza Kujua Maana Ya Professionalism?
 
Mi nafikiri kuwa suala la kila mtu kufuata sheria halihusu jinsia wala ulemavu. Nakubaliana nao kuwa walemavu huwa wanapewa vipaumbele na kusikilizwa pale wanapokuwa na madai yao na pia hata waziri yupo kwa ajili yao.

Tatizo kubwa ni hili la kila mtu akiwa na tatizo fulani basi maandamano au kufunga barabara ndo solution. Hili halikubaliki kwa community ambayo Kuna utawala wa sheria. Hakukuwa na haja ya kufunga barabara Zaidi ya viongozi wao kwenda kumuona kamanda mpinga.

Polisi nao pia wanapenda kupumzika na wake zao, kucheza na watoto wao, mtoko na wake zao na kutunza familia. Sasa wanapokuwa wanavurugwa kwa mambo ambayo yanaweza kutatulika kiurahisi na wao wanakuwa na hasira maana na wao wanapenda kuishi kama watu wengine na kupumzika na matokeo yake hasira zao ndo matokeo ya hayo wanayofanya.

Mfano mtu amekesha usiku kucha, hasubuh anaenda kupumzika, anaitwa tena kuwa Kuna walemavu wamefunga barabara. ILA NINAPINGA VIKALI KWA HATUA WALIZOCHUKUA DHIDI YA WALEMAVU NA IWE MWANZO NA MWISHO KUFANYA HIVYO NA HATUA KALI ZICHUKULIWE PINDI WAKIRUDIA.

PIA NA WALEMAVU NAO WASICHUKUE ULEMAVU WAO KATIKA KUSHINIKIZA AU KUANDAMANA AU KUFUNGA BARABARA KWA SHINIKIZO AMBALO LINAWEZA KUTATULIKA KWA KUONANA NA VIONGOZI NA HIVYO WANA WAJIBU WA KUTII SHERIA BILA SHURUTI. OFISI YA IGP IPO NYUMA YA POSTA, WANGEWEZA KWENDA KUMUONA NA WANGEMALIZA SHIDA YAO
Sijui nkuiteje yaani
 
Dah yaani polisi hawana uruma kabisa,sema uyo jamaa kama mwanangu soni chiba.
 
Kuna picha za kutisha tunazo ziona zinazo tokea kwenye nchi zisizo salama, hizo picha tukiziona mitandaoni, hazitushangazi kwa vile nchi hizo hazina usalama kwao kujeruhi,kuuwa,kubaka hata Kula nyama ya binadamu nikawaida tu.

Kwa hapa Tanzania ni tofauti, sababu Tanzania inajulikana duniani kuwa ni nchi salama duniani na ni kisiwa cha amani na ni nchi yenye kulinda haki za binadamu na ni nchi inayo sifiwa kuwa polisi wake wana weledi wa kulinda haki za raia wake.

LAKINI KWA PICHA HII HAPA

a612623220d91416207113f7e4645c53.jpg

Kama ni ya ukweli(sio edit wala maigizo) itatuharibia sifa ambazo jeshi letu la polisi pamoja na chama tawala (kwenye picha kuna kiongozi wa chama) walizo nazo, kwa sababu kwenye nchi zenye utawala bora, haija wahikutokea POLISI amfanyie KILEMA kitendo cha aibu kama icho
Hii haijawahi kuwa nchi ya salama! hata mara moja! Ndivyo mnavyojidanganya eti kuna hapa kazi tu! kumbe hakuna kitu eti oh tutapiga hatua, hakuna kitu, ujinga wa watanzania
 
Back
Top Bottom