Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,103
- 9,591
Ukikaa karibu na mwenye kiti cha Enzi lazima utulie tuli kama unanyolewa. 🤣🤣🤣🤭.ukikaa kama upo bar maana yake umetangaza uasi dhidi ya malkiaKa-telephone ni kama anapigwa passport size, sio kwa utulivu huo
Jamaa ana utulivu mpaka kwenye majukumu yake kwasasa,jamaa anakula pesa tu kama hayupoKa-telephone ni kama anapigwa passport size, sio kwa utulivu huo
Mhimili umeuchuchumalia mhimili😂😂😂
Amekaa kizembe akiachia ushuzi je?Binadamu tuna shida sana.
Angeinama mngemwanzishia uzi, angesimama mngesema anamziba rais.
Amechuchumaa bado mnamsimanga.
Angeinama ungesema hivyohivyo.Amekaa kizembe akiachia ushuzi je?
Ndo amgeuzie mtoto wa Ali?Angeinama ungesema hivyohivyo.
Atakuwa anamwambia tu Mama fanya kila uwezalo ili Lissu atoke huko aliko na awe Huru kwani itakuwa mbaya Kwetu Kisiasa baadae na Kimataifa.