Katuni hii ya bunge inakupa picha gani ?

Katuni hii ya bunge inakupa picha gani ?

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,934
Katuni hii ya bunge inakupa picha gani ?
FB_IMG_17514474975610561.jpg
 
Duh,
Aina ya watu wanaochukua fomu kugombea ubunge inaakisi hadhi ya bunge lenyewe, limekuwa la hovyo mno
 
inasema nchi under Christians vs muslims in power …
 
Hiyo ni juzi na kesho. Kimbembe kipo leo, kuanzia speaker mpaka mfungua mlango ni mwendo wa kusifia mama anaupiga mwingi tu.
 
Hata hao wabunge mnaowaita wa Magufuli hata huko majimboni hawakutani na upinzani wowote kutoka kwa hao wananchi wenyewe.
 
Back
Top Bottom