Picha: Hii imekaaje?

Status
Not open for further replies.
HII KAZI KWELI NGUMU,MAANA INAONEKANA WAZI KUWA KUCHEKA HARAMU JINSI JAMAA ANAVYOONEKANA,HAKIKISHA HUNA BANDAMA NA UTAAJIRIWA.
 
Ukitumia fikra huru utaelewa,mkono ambao ameshikana na Rais anawezaje kurusha kofi?
Kwa sababu dhumuni lake lililkuwa ni kumsalimia ndio maana wameweza kushikana mikono lakini ingekuwa dhumuni lake ni kumdhuru angeweza kufanikiwa kama usalama wasingeshika mkono.
 
Hao ndio zao! . Jamaa alipaswa akiishasalimiwa auachie mkono hivyo ikambidi jamaa wa usalama aingilie kati kuuzuia mkono ili kuwaachanisha!.

Pasco

Jee angekuwa kashikana na swahiba Kagame nae angeingilia kati kuwaachanisha? Nahitaji tuu kufahamu maana sie wengine wageni!
 
Ndio kama wewe unavyotokwa mishipa kama unajua kila kitu!Kama hujui kwanin unapinga kwa nguvu zote hizo

Haya mkuu, umeshinda wewe. Ni kweli kabisa aiseee, huyo mlinzi wa Rais kachemka sana kufanya vile. Sio nidhamu. ni dharau kubwa sana kwa Rais. Hembu wamuache Rais ajitanue na kusalimiana na watu bhana.

Huyo mlinzi kaokotwa wapi huyo hajuwi 'protokali', alaaaa. hembu kamkumbushe aache hizo. sawa eeeh mkuu. πŸ˜€πŸ˜€πŸ™‚

-Kaveli-
 
Kwa sababu dhumuni lake lililkuwa ni kumsalimia ndio maana wameweza kushikana mikono lakini ingekuwa dhumuni lake ni kumdhuru angeweza kufanikiwa kama usalama wasingeshika mkono.
Aisee,nishushe bhana!sina nauli!
 
Uelewa wako mdogo sana!Ushaanza maneno ya kwenye kanga,ngoja nikupuuze
 
Du! Huo uandishi in Mungu pekee ajuaye
 
Aisee umemaliza mjadala wote kwa picha yako husika. Yaani umejibu hoja kwa umahiri wa juu sana. Picha inaeleza yote.Nimekukubali ndugu yangu!
 
Kwa sababu dhumuni lake lililkuwa ni kumsalimia ndio maana wameweza kushikana mikono lakini ingekuwa dhumuni lake ni kumdhuru angeweza kufanikiwa kama usalama wasingeshika mkono.
Sasa hapa si angekula makofi mengi,au usalΓ ma walijisahau
 
Aisee umemaliza mjadala wote kwa picha yako husika. Yaani umejibu hoja kwa umahiri wa juu sana. Picha inaeleza yote.Nimekukubali ndugu yangu!
Hapa nadhani walijisahau eeeeh
 
Kiukweli pamoja na udhaifu wake rais amekata mirija ya wapiga dili wengi....hivyo Ulizi wake unatakiwa uwe wa Hali ya Juu.

Sasa hivi heshima kwakwenda Mbele Wateja wa safari ndogo aka kilikuu pamoja na plizina aka Ukawa zina soko hatari
 
Sasa hivi heshima kwakwenda Mbele Wateja wa safari ndogo aka kilikuu pamoja na plizina aka Ukawa zina soko hatari
Mkoani kuna balimi ndogo maarufu kirikuu,hizo hazikawii
 
Uelewa wako mdogo sana!Ushaanza maneno ya kwenye kanga,ngoja nikupuuze

Mkuu, sasa uelewa wangu mdogo kivipi tena ndugu?!! wewe si unasema kwamba huyo mlinzi wa Rais alichofanya sio nidhamu. Nami nimesema sawa. Na nikashauri tu kuwa yawezekana wewe 'unajua' zaidi hayo majukumu yake, so ukamkumbushe ili next time asirudie tena huo 'utovu wa nidhamu' kwa rais anapo-shake hands with people. Hapo kosa langu nini mkuu?

Au ndo 'unawashwa' sana huko kunako 'kitengo' eeh. Pengine yawezekana unajibu comment zangu huku 'umechora 7' πŸ™‚πŸ™‚

maana between your lines nimegundua hata huelewi unapinga nini, huelewi unatetea nini.

Au ndo unaleta ligi za 'kiduwanzi' ili ujaze uzi eeeh. Najua tu kesho kukicha mada hii utaipeleka kwenye kijiwe cha kahawa πŸ˜€

-Kaveli-
 
Hapa nadhani walijisahau eeeeh
View attachment 395204
Ukiiangalia picha hii uliyopost sasa unaona kabisa mazingira yake na ya watu walionyosha mikono yao si hatarishi sana kama yale ya msongamano wa karibu katika ile picha yenye hoja. Na huenda walipima hali na wakajiridhisha kuwa hali ni salama wakiendelea kusimama walipo. Ni mawazo tu.
 
Hao ndio zao! . Jamaa alipaswa akiishasalimiwa auachie mkono hivyo ikambidi jamaa wa usalama aingilie kati kuuzuia mkono ili kuwaachanisha!.

Pasco

yule mdada mlinzi wa mtukufu simuoni hapo au ana leave
 
Aisee umemaliza mjadala wote kwa picha yako husika. Yaani umejibu hoja kwa umahiri wa juu sana. Picha inaeleza yote.Nimekukubali ndugu yangu!

Dunia hii ina mambo mengi. Mtu hawezi kujua kila kitu. JF imekuwa ni sehemu nzuri sana kuhabarishana.

Karibu mkuu.

-Kaveli-
 
USA wanatumia radius!wamezipa majina hizo zones zao,kuna radius kama 6 kama nakumbuka vizuri kabla ya kufika kwa Rais!Mpaka unafika inner radius basi tayari wameshahahakisha kuwa wewe ni harmless
Usifananishe US na TZ
Nakumbuka Mzee Mwinyi alipigwa kibao hadharani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…