Picha: Hii imekaaje?

Picha: Hii imekaaje?

Status
Not open for further replies.
Hiyo kitu hairuhusiwi ku hold/kumshika kiogozi wa juu kwa mda hiyo ipo popote pale duniani!

Kuna wengine wanatumia njia hiyo kumdhuru rais,

Hawa Jamaa wanajua sana majukumu yao hawabahatishi na rais hawezi kuhoji
Unachosema ni kweli mkuu.

Rais anapopita katika ya watu yeye ndiye anatakiwa kuanza kunyoosha mkono kusalimia watu na sio mtu kwenye umati from no where ananyoosha mkono kuta kumsalimia rais! Hauwezi kujua dhumuni lake ni nini, kama angampiga kibao rais tungekuwa hapa tunalaumu walinzi wake.
 
Huyo ni wakili na ndiye aliyewatetea wananchi wa eneo hilo mpaka Leo serikal imesikia!Kiufupi ndiye mtu aliyesimama kwa niaba ya wananchi!He is not just nobody
Usalama wa taifa wana protocals za rais anapokutana na wananchi na sioni kama kuna kunatofauti kati ya wakili, dokta au mwananchi wa kawaida.

Na rais anapokuwa kwenye umati wa watu yeye ndiye anatakiwa haanze kusalimia watu na sio watu kuanza kumsalimia.

Wewe ndiye unaweza kujua huyo mtu ni wakili lakini huyo usalama wa taifa hapo alikuwa hajui ni nani.
 
Unazungumziaje mkono wa kushoto wa Rais ambao hata begani kwa anayesalimiana naye haujafika!huoni kuwa salamu ilikuwa ikiendelea
Mkon si wa salam huo, soma sura
 
na leo katoa matamko ila nasikia hali ya hewa haikuchafuka sana kivile.
 
Halafu huyo Mzee anayesalimiana na Mh. Rais, ni kigogo wa chama cha CUF mwanasheria nguli Twaha Issa Taslima ambaye alikuwa ni Mjumbe wa Kamati ya Uongozi ya CUF baada ya Prof. Lipumba ''kujiuzulu''.

Hapo Mh. Rais katika shughuli nzima alikuwa amezungukwa na wanasiasa wa vyama vya upinzani waliochaguliwa na wananchi wa jiji la Dar-es-Salaam ndiyo maana rangi ya njano na kijani leo hazikuwepo hivyo salamu na kushikana mkono ni ishara ya kukubali uwepo wa ''wenye jiji''.
Swadakta sana mjomba .
 
Uko nje ya mada,kaanzishe uzi tujadili hilo!

Wewe kazi zako hapa jukwaani ni nne tu.

1.Kuanzisha mada.
2.Kuchangia kwenye mada.
3.Ku-like.
4.Ku-report abuse.

So acha kiherehere cha kujifanya moderator.

Najua nachofanya.

Unajua maana ya nje ya mada wewe? Toa hiyo picha ya meya wa Kinondoni niwe nje ya mada.
 
Kiukweli pamoja na udhaifu wake rais amekata mirija ya wapiga dili wengi....hivyo Ulizi wake unatakiwa uwe wa Hali ya Juu.
 
Mtu anayelindwa kwa mfano kiongozi wa nchi huwa wakati wa kusalimiana humpi mkono mpaka yeye aanze kukunyooshea. Kilichotokea hapo leo ni kwamba JPM alipomaliza shughuli aliteremka kwenda kuwapa mkono watu waliokuwa wameketi mstari wa mbele kabisa akiwemo Taslima.
Kutokana na kazi nzuri aliyoifanya wakili huyu JPM alipofika kwake alimpa mkono na Taslima alipoupokea JPM aliendelea kuongea naye akiwa bado ameushikilia. Sasa kwa minajili ya ustaarabu Taslima asingechomoa mkono wake mpaka pale JPM alipouachia.
Huyo mlinzi alizidisha munkari kidogo, maana hawa watu wetu wa idarani wana utamaduni wa kuzidisha mambo ya kazi yao mara nyingi.
Ulinzi wa rais siyo kama kumchunga mbuzi, tatizo letu kila kitu tunaingiza siasa hadi kwenye mambo muhimu!!
 
Halafu huyo Mzee anayesalimiana na Mh. Rais, ni kigogo wa chama cha CUF mwanasheria nguli Twaha Issa Taslima ambaye alikuwa ni Mjumbe wa Kamati ya Uongozi ya CUF baada ya Prof. Lipumba ''kujiuzulu''.

Hapo Mh. Rais katika shughuli nzima alikuwa amezungukwa na wanasiasa wa vyama vya upinzani waliochaguliwa na wananchi wa jiji la Dar-es-Salaam ndiyo maana rangi ya njano na kijani leo hazikuwepo hivyo salamu na kushikana mkono ni ishara ya kukubali uwepo wa ''wenye jiji''.
Wacha kuchanganya gongo na juice
 
Sasa Pasco kama Rais bado alikuwa anateta jambo na muhusika inakuwaje?Haya mambo sijaona sehemu nyingine
1473189343334.jpg
 
Usalama wa taifa wana protocals za rais anapokutana na wananchi na sioni kama kuna kunatofauti kati ya wakili, dokta au mwananchi wa kawaida.

Na rais anapokuwa kwenye umati wa watu yeye ndiye anatakiwa haanze kusalimia watu na sio watu kuanza kumsalimia.

Wewe ndiye unaweza kujua huyo mtu ni wakili lakini huyo usalama wa taifa hapo alikuwa hajui ni nani.
Sio kweli,alikuwa mstari wa mbele wa watu maalum waliotengewa eneo!kama ni tukio la kudhuru basi lingekuwa lilishafanyika kwasababu huo mwanya alikuwa nao sana tu!Ukiangalia picha vizuri unaona kabisa mkono wa Rais wa kushoto ulikuwa unaenda begani kwa shekhe na ulikuwa haujafika!Hii inatoa picha kuwa wanafahamiana
 
Wewe kazi zako hapa jukwaani ni nne tu.

1.Kuanzisha mada.
2.Kuchangia kwenye mada.
3.Ku-like.
4.Ku-report abuse.

So acha kiherehere cha kujifanya moderator.

Najua nachofanya.

Unajua maana ya nje ya mada wewe? Toa hiyo picha ya meya wa Kinondoni niwe nje ya mada.
Ndio unayowaza!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom