Angalauu wewe umeongea/umeuliza swali la maana.....ngoja tusubiri majibuKwa kuwa Dr. Slaa alikuwa Padre hivyo alipata sakramenti ya upadrisho. Pia najua kwamba kwa taratibu za kanisa katoliki ukishapata sacrament ya upadirisho (ahadi) huwezi kupata sakramenti ya ndoa; kwa Dr. itakuwaje akifunga ndoa kanisa katoliki atapata sakrament ya ndoa?
Akanana kaile kooona..kaileeeee...kaile nikeogola...
Ha ha ha ha Raisi kapata mwenza.. Hayawi hayawi yamekuwa.. Haolewi kaolewa...mapepo yashindwe kwa jina la Yesu! Semeni ameeen
Kwa kuwa Dr. Slaa alikuwa Padre hivyo alipata sakramenti ya upadrisho. Pia najua kwamba kwa taratibu za kanisa katoliki ukishapata sacrament ya upadirisho (ahadi) huwezi kupata sakramenti ya ndoa; kwa Dr. itakuwaje akifunga ndoa kanisa katoliki atapata sakrament ya ndoa?
Hahahaha...it is a nice joke brah!! Kumbe swala lipo mahakamiani bado? mimi nilidhani tayari mahakama imeshampa go ahead ya kuendelea na mipango ya ndoa!!Kwanini unazungumzia swala liloko mahakamani...?, kama Dr Slaa kamwiba mke wa mtu bado wewe atakuiba...
Angalauu wewe umeongea/umeuliza swali la maana.....ngoja tusubiri majibu
Hapo napo ni pagumu kwangu Mkuu. Ila kila wakati Roma wanapitia sheria za kikatoliki kwa hili sijui kama wameshalipitia. Ngoja kesho tutapata details kama ni kwa Mkuu wa Wilaya au la au pia ni open space but who will officiate it? Let us wait!! Wenye mwaliko tujuzeni maana najua mko huku!! Mimi ni political and economic analyst bila chama cha siasa hivyo no ties to SSM or CDM.
Kwa kuwa Dr. Slaa alikuwa Padre hivyo alipata sakramenti ya upadrisho. Pia najua kwamba kwa taratibu za kanisa katoliki ukishapata sacrament ya upadirisho (ahadi) huwezi kupata sakramenti ya ndoa; kwa Dr. itakuwaje akifunga ndoa kanisa katoliki atapata sakrament ya ndoa?
Nipo Interested kufahamu umri wa Josephine na Slaa...mwenye umri wao anisaidie please!
Yasije yakawa ya Babu anuoa mjukuu!!!
The Church resists allowing priests to be married. For a priest to legally get married under canon law he must be granted a special dispensation to release him from the rule of celibacy.
However the process to grant the dispensation and the actual wording of the dispensation are problematic. When applying for the dispensation a priest must put together a lot of paperwork. Part of the paperwork almost requires him to say that he never should have been ordained a priest in the first place.
The document that grants dispensation from celibacy, called a rescript, includes wording that says the priest loses rights to the clerical state, loses his office of priest, and is no longer bound by the duties of the clerical state. The priest is then allowed to marry under Church rules.
Naona hayo maelezo yanamruhusu huyo mzee kuoa kikatoliki
Nimeuliza kwa faida ya wengi...nafikiri hata wewe upo interested kufahamu hilo!!Naona Mkuu Rejao unaingilia majukumu ya RITA sasa.
Yericko Nyerere Does the Bible Say Divorce and Remarriage Is Moral or Immoral?
lazima ndoa ya Rais ni issue kubwa sana! jipange vizuri kutupeleka hewani mwana!!
Nimeuliza kwa faida ya wengi...nafikiri hata wewe upo interested kufahamu hilo!!
I don't think if there is any holy book/scripture which talks about priests & marriage!This is just a doctrinal issue, it is not documented in the holy book.
Yericko Nyerere soma post no.96Kanisa katoliki linatoa fursa na kubariki ufungwaji wa ndoa iliyoachishwa kwakufuata taratibu zote!
Mfano: Kanisa linakubaliana kuwa ndoa ivunjike ikiwa wanandoa hawatimiziani haki zao za ndoa kama baba au mama atapata maradhi yanayomfanya apoteze uwezo wa kujamiana, kama kanisa litapata malalamiko yenye ushahidi kuwa mmoja wao anamwingilia mwenzie kinyume na maumbile, kama mmoja wa wanandoa atafariki hasa baada ya kupita miaka miwili, ama kuachwa kwa miaka kadhaa na kuthibitika kuwa mmoja wo huyo ameoa mke au ameolewa!
Matatizo ya hapo juu yanampa mamlaka kiongozi wa kiroho wa katoliki kubariki kuachana na kubariki ndoa mpya!
Uzinifu, au adulteration inamfuata asieoa kama wewe.Ndoa ya mzinifu na dhambi ya UZINZI bado itaendelea kumtafuna