Andrew Puma
Member
- Oct 7, 2026
- 68
- 96
Dunia nikiwaza mambo ambayo yanatendeka huwa nakosa amani hata kama wapo mbali inauma
Wapi askari waliuliwa?Ulikuwepo kila eneo ? walichoma Mali za watu na taarifa zinasems Kuna Askari waliouliwa pia
Moja kwa moja......
Mji wa Gaza ulikuwa mzuri sana , makosa na ujinga wa Hamas kuingia mkenge kufanya shambulio la kikatili kukazaa Unyama mkubwa zaidi katika zama hizi chini ya IDF
1.
View attachment 3689930
2.
View attachment 3689931
3. View attachment 3689932
4. View attachment 3689933
#UziUnaendelea