Picha: Hali Inavyotisha Hospitali ya Muhimbili

You know what EMT? Namuangalia huyu babu and I feel like it is my grandpa...

Maisha bora kwa kile Mtanzania. More distressing pictures coming soon.
 
Kweli inasikitisha mno? Hivi ni nini kinachomshinda JK kutoa maamuzi akiwa kama raisi wa hii nchi? Kweli tutawakumbuka maraisi waliopita! Mungu ibariki Tanzania.:A S embarassed:
 
Wenye mamlaka ya kumaliza mgomo wa dr wako bungeni kwenye kugombania posho ambazo zinatokana na kodi kutoka kwa hawa wagonjwa.JK unajua hawa ni miongoni ya waliokupigia kura?Jali maslahi yako mkuu.
 
Mara nyingi huwa sipendi kuongelea siasa na wala sitoki nje ya mada lakini hawa viongozi wetu tukiwapiga chini japo nusu yao nadhani watajifunza na ni vyema tukaanzia na jimbo la Uzini.
 
Yaani inatisha hata nashindwa kuelewa hawa ndugu zetu walioko kwenye utendaji serikalini wanafikiria nini.
 
Wako wapi madaktari wa China, Cuba, India, na kule kwetu katavi? Sometimes we have to be serious in our thinking. Siasa haina majawabu ya kila matatizo yanayotuzunguka. Tanzania kazi pekee ya maana ni kuajiriwa kwenye wizara fulani fulani hivi, ingawa wabunge nao wameamua kijitwalia nafasi kwa kulazimisha...wengine wanaonekana sio wafanyakazi.
 
Hii ni Tanzania tena kwenye jiji makao makuu? siamini!
Ila jamani..watanzania mmepata mlichochagua! Poleni sana.
 
More pictures from Muhimbili hospital











LHRC wakitafakari baada ya kuona hali halisi ilivyo










 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…