si bure, maleria itakuwa imekupanda kichwani!!!Treni ya Umeme ikipita Daraja la Ruvu ikitoka MORO kwenda Dar,chini ni Moro road,kushoto ni fly over, 5 yrs to come : Tizama picha hapa chini ! CCM CHAMA DUME!
![]()
Ndugu, mbona daraja la kigamboni imewezekana? Check majumba marefu mazuri yanavyojengwa DSM, flyovers kwanini hamtaki kuamini? Acheni chuki na CCM5years to come?????? Kwa Tanzania hii hii? Ptuuuuuuuu. Kwanza kwa umeme upi labda? Huu huu ambao kuwaka 24Hrs bila kukatika tunashangaa?
Ndugu una ndoto nzuri sana ila hebu zipe muda. Sio sasa wala miaka 20 ijayo
Nadhani kwa siku ya leo huu ndio uzi wa KIPUMBAVU KABISA KUUONA!!!Treni ya Umeme ikipita Daraja la Ruvu ikitoka MORO kwenda Dar,chini ni Moro road,kushoto ni fly over, 5 yrs to come : Tizama picha hapa chini ! CCM CHAMA DUME!
![]()
Ndugu, mbona daraja la kigamboni imewezekana? Check majumba marefu mazuri yanavyojengwa DSM, flyovers kwanini hamtaki kuamini? Acheni chuki na CCM
Maisha hayawezi kusonga pasina ndoto. Ndoto ni muhimu. Acheni kukatisha watu Tamaa. ILANI YA CCM ITAKAMILISHA YOTE HAYA WITHIN 5YRS FROM NOW, CHINI YA PIERRE MAGUFULIWakabaji watakuwa wanatumia bunduki,,,wazazi wanakunywa maziwa bure,,tutakatatwa kupanda magari yetu sababu ya wingi wa magari,, makahaba kupewa plate no, Tz kuwa member wa G20,, wasauzi watakuwa wamazamia bongo,, viwanjani tunaingia Kwa digitali,, kifanya kazi mikoani na kurudi mkoani kwako kawaida,,,,,
Ila hii ndoto,,,,,mwisho kuota Leo!!!!!!
Kkkkkkkkkkkkk na treni ya umemeTreni ya Umeme ikipita Daraja la Ruvu ikitoka MORO kwenda Dar,chini ni Moro road,kushoto ni fly over, 5 yrs to come : Tizama picha hapa chini ! CCM CHAMA DUME!
![]()

Acha ushabiki wakichama wewe jua tupo katika kipindi kigumu sana.Jaribu kufikiri kabla hujasema jambo.Ndugu, mbona daraja la kigamboni imewezekana? Check majumba marefu mazuri yanavyojengwa DSM, flyovers kwanini hamtaki kuamini? Acheni chuki na CCM
we Ni sawa na anayekula ugali kwa picha ya samakiTreni ya Umeme ikipita Daraja la Ruvu ikitoka MORO kwenda Dar,chini ni Moro road,kushoto ni fly over, 5 yrs to come : Tizama picha hapa chini ! CCM CHAMA DUME!
![]()
Ni mabadiliko na sio mabadiriko!! Hujui hata kusoma na kuandikaMabadiriko wanayofanya huyaoni Mkuu? Au wewe ni albino?
Hata mimi nilijua ishaanza tumika kumbe ni picha??? Huyu mleta mada sijui kala maharage ya wapi!!Mimi nikajua ujenzi umeanza,kumbu hadithi zilezile.
Jinsi ambavyo milembe wametorokwa na mtu waoUmeona nini Mkuu!!!