New ChinaTreni ya Umeme ikipita Daraja la Ruvu ikitoka MORO kwenda Dar,chini ni Moro road,kushoto ni fly over, 5 yrs to come : Tizama picha hapa chini ! CCM CHAMA DUME!
Punguani huyu mkuu,temana naye!!New China
hata mie nimeonaPunguani huyu mkuu,temana naye!!
Njoo uone huo udada wanguWe Dada nakuheshimu sana.
amka kumekucha dogo...Treni ya Umeme ikipita Daraja la Ruvu ikitoka MORO kwenda Dar,chini ni Moro road,kushoto ni fly over, 5 yrs to come : Tizama picha hapa chini ! CCM CHAMA DUME!
Aisee! Mbona patakuwa kama porini tena!Treni ya Umeme ikipita Daraja la Ruvu ikitoka MORO kwenda Dar,chini ni Moro road,kushoto ni fly over, 5 yrs to come : Tizama picha hapa chini ! CCM CHAMA DUME!
mapumziko au kutambikia.CCM chama kubwa ati! Ngoja jamaa atoke mapumziko utaona ujenzi soon unaanza. Kwa niaba ya watu wa China!
Una miaka mingapi mkuu kuniita dogo?Weka mstari dogo!