Acha kudharau walemavu wa ngozi wewe, kwani huoni kuwa wafadhili wanajitoaMabadiriko wanayofanya huyaoni Mkuu? Au wewe ni albino?
Albino haoni?Mabadiriko wanayofanya huyaoni Mkuu? Au wewe ni albino?
NDOTO ZA MCHANA HIZITreni ya Umeme ikipita Daraja la Ruvu ikitoka MORO kwenda Dar,chini ni Moro road,kushoto ni fly over, 5 yrs to come : Tizama picha hapa chini ! CCM CHAMA DUME!
![]()
Sehemu gani ya bible mkuu. Naomba nijifunze kutoka kwakoBiblia inasema "aaminiye ndoto ni mjinga"
Wafadhili wanajitoa kwasababu ya kukosa namna ya kutuibia. Zile Fedha zote walizokuwa wakitupa walikua wakiziiba hapa kwetu, na kutufadhili chache. CCM ya Magufuli imelibaini hilo.Acha kudharau walemavu wa ngozi wewe, kwani huoni kuwa wafadhili wanajitoa
Ondoa utoto wako hapa, nyie ndiyo mnaishusha hadhi JF, wote tunaonekana mazuzu.. SwineWafadhili wanajitoa kwasababu ya kukosa namna ya kutuibia. Zile Fedha zote walizokuwa wakitupa walikua wakiziiba hapa kwetu, na kutufadhili chache. CCM ya Magufuli imelibaini hilo.
Umeme wenyewe shida, pole kwasababu unaota endelea kulalaTreni ya Umeme ikipita Daraja la Ruvu ikitoka MORO kwenda Dar,chini ni Moro road,kushoto ni fly over, 5 yrs to come : Tizama picha hapa chini ! CCM CHAMA DUME!
![]()
Duhhhh,Kuna tofauti kubwa kati ya kuona na kusikia. Albino anasikia, haoni.
Kalogwa huyu siyo bure...Sijui vijana wanapewa nini?
DART haijashindikana, msipotoshwe na wanasiasa feki wasioipenda nchi yetu.