Picha: Esther Matiko Akiiisambaratisha CCM Rorya

Picha: Esther Matiko Akiiisambaratisha CCM Rorya

Mwenyekiti wa wilaya hiyo ni jamaa yangu anaitwa adero Hahaaa Hongeran mno kwa kwendelelea kuisulubu Ccm watakufa kwa presha hawa sun asee

Uchaguzi wa vitongoji na vijiji umeiacha CCM uchi wa mnyama huko Rorya.

Vijiji vingine wagombea wa Chadema walipita bila kupingwa hawakuwa na mpinzani.
 
Fuatilia matokeo ya serikali za mitaa vijiji na vitongoji hapo Rorya halafu niletee majibu
Mkuu Molemo kweli mahaba hatari, huo nao ni umati kweli? Halafu waaambie viongozi wa hiyo kata watende haki kwa kuandika vizuri hayo maneno yanayoonyesha ofisi ya kata susuni. Yameandikwa utadhani walikuwa wanafukuzwa kumbe ni ofisi yao.
 
Last edited by a moderator:
Huwa nacheka sana nikisoma comments baadhi ya watu humu

Ndoto za mchana n hatarii sana
 
Kwa hali yoyote ile kama wananchi wengi wanavyopendekeza tutarajie mtetezi wao Dr Slaa kuingia Ikulu.

Mungu wetu ni Mungu wa Eliya.

slaa_mwanza.jpg
 
Mkuu Molemo kweli mahaba hatari, huo nao ni umati kweli? Halafu waaambie viongozi wa hiyo kata watende haki kwa kuandika vizuri hayo maneno yanayoonyesha ofisi ya kata susuni. Yameandikwa utadhani walikuwa wanafukuzwa kumbe ni ofisi yao.

......maandishi yameandikwa moyoni !!!
 
Hongera sana Bi Estha

Mungu akupe nguvu kila kukicha!!!!!!

Nenda Chadema nenda Chadema✌✌✌✌
 
FaizaFoxy anatukana hovyo
ana hasira za kukosa ukuu wa wilaya sasa wewe kikongwe shep flat screen nani akupe ukuu wa wilaya???

kafie mbali huko
 
Last edited by a moderator:
FaizaFoxy anatukana hovyo
ana hasira za kukosa ukuu wa wilaya sasa wewe kikongwe shep flat screen nani akupe ukuu wa wilaya???

kafie mbali huko

Aisee...

Nimecheka sana sina mbavu.

Hakika JF ni kiboko
 
Last edited by a moderator:
Hatuhitaji matusi kwenye hii thread.

Vujana wa Lumumba mna shida sana.

Macho yako yana kengeza, hujaona aliyeanza nani? au ndiyo kama Mwenyekiti, mnatazama kwingine mnapoona kwingine.
 
Mkuu Molemo kweli mahaba hatari, huo nao ni umati kweli? Halafu waaambie viongozi wa hiyo kata watende haki kwa kuandika vizuri hayo maneno yanayoonyesha ofisi ya kata susuni. Yameandikwa utadhani walikuwa wanafukuzwa kumbe ni ofisi yao.

Kimbunga

Kama huoni chochote hapo kimbia kwa daktari utakuwa na tatizo la macho.

Kuhusu maandishi Chadema iko ndani ya mioyo ya watu
 
Last edited by a moderator:
FaizaFoxy anatukana hovyo
ana hasira za kukosa ukuu wa wilaya sasa wewe kikongwe shep flat screen nani akupe ukuu wa wilaya???

kafie mbali huko

Hadhi yangu hata ukuu wa mkoa ni muhali, kumbuka hilo.

Umeona ukuu wa wilaya kitu cha maana sana.

Amma kwa hakika wewe uko mbali kweli.
 
Back
Top Bottom