Picha: Esther Matiko Akiiisambaratisha CCM Rorya

Picha: Esther Matiko Akiiisambaratisha CCM Rorya

Standalone

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2014
Posts
676
Reaction score
576
Mbunge wa Viti Maalumu Chadema Bi Esther Matiko amefanya kazi kubwa kujenga Chadema Rorya ambapo juzi Amekabithi ofisi ya Chama Kata ya Susuni.

Ikumbukwe pia nyumba hii aliinunua mwaka juzi na kuikarabati taratibu, ina vyumba viwili vya ofisi na ukumbi mdogo wa mikutano ya kata.

Pia amewapatia viti 12 kurahisisha Vikao vya Kamati tendaji..Kwenye Kata hii CHADEMA walikuwa wamekodi ofisi kwenye nyumba ya mccm aliyekuwa anawasumbua mara kwa mara japo kodi alikwisha pewa ya miaka miwili.
Hawa Ndio Wabunge wa Chadema, Hii ndio Chadema…

attachment.php

attachment.php
attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • ester1.jpg
    ester1.jpg
    74 KB · Views: 6,201
  • ester2.jpg
    ester2.jpg
    67.9 KB · Views: 6,128
  • ester3.jpg
    ester3.jpg
    98.1 KB · Views: 6,176
  • ester4.jpg
    ester4.jpg
    100 KB · Views: 6,727
Wale wanaosema Chadema inakufa watasubiri sana.Chadema ni mpango wa Mungu.

Warning: Lumumba buku 7 kaa mbali na uzi huu.
 
Wale wanaosema Chadema inakufa watasubiri sana.Chadema ni mpango wa Mungu.

Warning: Lumumba buku 7 kaa mbali na uzi huu.

Molemo Lumumba buku 7 wakikaa mbali watakula wapi? Wenzio wanalipwa kwa kuwepo jf na kupost utumbo kwenye kila uzi hivyo usitegemee wakae mbali,,.....


Hongera Ester Matiko

Hongera kwa wote waliojitambua na kuamua kuchagua mabadiliko!
 
Last edited by a moderator:
Wamejitia Upofu.....

Naona Leo wamekimbia hapa jukwaani, Nadhani hawajawekewa Bundle leo Mkuu....[URLb=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=LB7]#LB7[/URL]

Mb 8 ni shida, lazima waishiwe mwaka wa uchaguzi huu...huko kwenye lichama lao kila mmoja anajitahidi kuiba kwaajili ya oct
 
Hongera kwake. . . . . .ila sasa chama kukosa ofisi nayo sio jambo zuri mbona, hata ya tope???!!!
 
Darasani alikuwa vizuri, kwenye ulecturer alikuwa vizuri pale UDSM 2009 Akifundisha IM100 Namkumbuka kwa ufundishaji wake wenye weredi HABARI NJEMA ni kuwa SASA mpaka chamani na taifani anafanya vizuri...God bless you madam Ester_matiku
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom