Picha: Esther Matiko Akiiisambaratisha CCM Rorya

Picha: Esther Matiko Akiiisambaratisha CCM Rorya

Haikua jambo zuri hata kwa TANU kukosa ofisi wakati wanapigania ukombozi wa Kwanza .

Na haikua jambo zuri kwa CHADEMA kukosa Ofisi kikiwa na Wabunge 5 lakini hadi sasa kina wabunge karibia 50 na ofisi zinaendelea kujengwa lakini zile ofisi kuu mioyoni mwa watanzania zimezidi kuimarika na kupendeza zaidi

Asante sana Kamanda Ben Saanane Umeandika Vyema sana...

Hakuna Ofisi kubwa kama ambayo inajengwa na Mh Mbowe ndani ya Mioyo ya watanzania...

CCM wana ofisi lakini zimegeuka sehemu za kwenda kupigia Dili na kusepa...
 
Aende mpaka Nyamagaro, sonjo, Busurwa nk...

Nashukuru kwa Mawazo,,,,bado Chadema tutaendelea kusogeza huduma kwa watu....Na sio huduma tu, Bali kikubwa kufundisha watu haki zao, Na kuwaongoza kwenye ukombozi wa pili wa taifa hili.
 
Akikuletea naomba unifowadie kamanda
Mkuu hata mimi ukipata usisahau kunipenyezea, kama utaona hapa jamvini itakuwa noma basi utanipenyezea hata upenuni ilimradi nipate hayo matokeo ya serikali za mitaa huko RORYA. Usisahau mkuu.
 
Unaweza kuliweka hivyo pia. . . . .ila yaliyo moyoni unayapimaje??!!
Approach yenu ina limited scope sababu hao waliojaza chama moyoni wangeweza kwa umoja wao kujenga jengo zuri na imara kuliko hilo. . . . .

Hongera kwa mtazamo huo wa kujua yaliyo mioyoni mwa watu. . . . .lakini pia mjifunze ku argue bila kuhusisha CCM na chimbuko lake hapa tunaongelea jengo ambalo lingeweza kuwa bira kubwa na imara zaid kama nguvu ya wananchi na mapenzi yao yangekuwa invested hapo!!!!

Huwezi kuwa unaongelea delete CCM na kila hoja yako una refer kwa kitu hichohicho unachodai ni kibaya na hakifai. . . . . .Contradiction

Hatushindanishi skills za architecture mara majengo mazuri n.k tunaeneza ujumbe wa matumaini kama walivyoeneza waasisi wa Taifa hili bila kuwekeza kwenye majengo mazuri
 
Jamani hata pesa ya kuandikiwa maandishi hakuna hadi mnaandikia Markpen!! Hapo pia mtasingizia CCM.
 
Nashukuru kwa Mawazo,,,,bado Chadema tutaendelea kusogeza huduma kwa watu....Na sio huduma tu, Bali kikubwa kufundisha watu haki zao, Na kuwaongoza kwenye ukombozi wa pili wa taifa hili.

Pamoja sana Kamanda Standalone

Hakika mmejipanga ndiyo maana Lumumba na vibaraka wao hawana pa kushika.

Chadema ni mpango wa Mungu.
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana Mh ester matiko kwa kuimarisha chama rorya!...

Waheshimiwa wabunge wengine Wa chadema na wadau mbalimbali tuigeni mfano Wa Mh matiko kwa masilahi mapana ya chama
 
Pamoja sana Kamanda Standalone

Hakika mmejipanga ndiyo maana Lumumba na vibaraka wao hawana pa kushika.

Chadema ni mpango wa Mungu.
Kamanda Molemo ccm wakisikia tunatoa habari kama hizi wana haha sana tuendele kuamsha watanzania kwenye hii kazi ya Mungu
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana Mh ester matiko kwa kuimarisha chama rorya!...

Waheshimiwa wabunge wengine Wa chadema na wadau mbalimbali tuigeni mfano Wa Mh matiko kwa masilahi mapana ya chama

Huko Rorya Ester Matiko jina lake maarufu ni JEMBE...

Na siyo kuimarisha chama tu.Bali kupigania maendeleo ya wananchi wote bila kujali itikadi.
 
Back
Top Bottom